Home » » Sad News: Basi la Takbir Lagongana na Lori Usiku Huu na Kuua Watu Kadhaa

Sad News: Basi la Takbir Lagongana na Lori Usiku Huu na Kuua Watu Kadhaa


Habari zilizotufikia usiku huu zinaarifu kuwa watu kadhaa wamepoteza maisha katika ajali mbaya iliyotokea baada ya basi la abiria la Takbir lenye namba za usajili T 230 BRJ lililokuwa likitokea jijini Dar es Salaam kwenda Mwanza kugongana na lori eneo la Shelui, kijiji cha Kizonzo omkoani Singida.


Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog