Home » » Breaking News: Mtanzania Omary Clayton kashinda Tuzo ya heshima nchini Marekani…(+Pichaz)

Breaking News: Mtanzania Omary Clayton kashinda Tuzo ya heshima nchini Marekani…(+Pichaz)

Good News ikufikie popote pale ulipo, jana  Dec 5, 2015 historia nyingine imeandikwa katika Afrika na dunia kwa ujumla baada ya Mtanzania mwenzetu Omary Clayton kuibuka na ushindi mnono katika shindano la Tuzo za California Viewers choice Award za nchini Marekani akiwa kama muigizaji bora wa kiume kutokea Afrika.
Clayton kapata ushindi huku pia filamu ya Dogo Masai aliyokuwa ameshiriki nayo imejipatia Tuzo.
Na hapa anaeleza furaha yake kupitia post aliyoiweke kwenye Instagram page yake >>>
“Daah!! Mpaka nimetokwa na machozi!! Na sijui niandike nini but kikubwa namshukuru sana mwenyezi mungu mwingi wa rehema!! HATIMAE TUZO IMEKUJA AFRICA!! WANDUGU NITAWASHUKURU NOW NASHINDWA HATA MANENO GANI NIANDIKE KUWASHUKURU🙏 NASUBIRI NITULIE HILI NIWASHUKURU VIZURI🙏🙏🙏🙏🙏🙏”
1
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog