Home » » Michezo Real Madrid waibuka na ushindi wa goli 10-2 dhidi ya Rayo Vallecano, Cheki Video ya magoli (+Pichaz)

Michezo Real Madrid waibuka na ushindi wa goli 10-2 dhidi ya Rayo Vallecano, Cheki Video ya magoli (+Pichaz)

Baada ya wapinzani wao wa jadi FC Barcelona kufanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 3-0 dhidi ya River Plate ya Argentina katika fainali ya Klabu Bingwa Dunia, Real Madrid wameamishia hasira zao katika mchezo wa Ligi Kuu Hispania dhidi ya klabu ya Rayo Vallecano.
fft104mm4068087
Real Madrid walikuwa katika dimba lao la nyumbani la Santiago Bernabeu huku timu yao ikiwa imesheheni mastaa wao kama Karim Benzema, Cristiano Ronaldo na Gareth Bale. Real Madrid wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 10-2 wakati Gareth Bale na Benzema wakiambulia kufunga hat-trick.
1450627582282_lc_galleryImage_The_referee_shows_a_red_c
Magoli ya Real Madrid yalianza kufungwa dakika ya 3 na DaniloGareth Bale dakika ya 25, 42, 61 na 70, Cristiano Ronaldo dakika ya 30 na 54 na Karim Benzema dakika ya 48, 80 na 90. Wakati magoli ya Rayo Vallecano yalifungwa na Antonio Amaya dakika ya 10 na Jozabed dakika ya 12.
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog