Home » » ASKOFU MKANE WA T.A.G ASEMA HUYU NDIYE RAISI TULIYEKUWA TUNAMHITAJI WATANZANIA.

ASKOFU MKANE WA T.A.G ASEMA HUYU NDIYE RAISI TULIYEKUWA TUNAMHITAJI WATANZANIA.



askofu mkane akisisitiza moja ya mambo ya msingi ya kanisa.
Askofu mkuu wa kanisa la Tanzania Assemblis of God T.A.G] jimbo la Iringa Jonas Mkane amempongeza Raisi wa awamu ya tano na kusema kuwa huyu ndiye raisi ambaye mungu amemchagua kuwatumikia watanzania.
Akizungumza na mtandao huu wa www.denisnyali.blogspot.com amesema watanzania kwa muda mrefu walikuwa hawajapata kiongozi mwenye kasi ya kufanya kazi kama magufuri hivyo uwepo wake katika nafasi hiyo anaamini kuwa mambo yatakwenda vizuri katika nchi hiii.

askofu mkane akiwa na mkewe

Itakumbukwa kuwa dk magufuri tangu aapishwe amekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii pamoja na magazeti mbalimbali ya kimataifa huku baadhi ya wanasiasa na wachambuzi wakimfananisha na aliyekuwa waziri mkuu wa zamani EDWARD MORINGE SOKOINE.


Askofu mkane akiwa na askofu mkuu wa tanzania dr barnabasi mtokambali.

 
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog