MAUWAJI YAENDELEA KUTIKISA TARIME Hali ya usalama Tarime imezidi kutoweka baada ya jambazi lisilofahamika likiwa na bunduki ambayo haijafahamika aina yake kuendelea kuua watu kwa risasi hasa wa jinsi ya kiume, ambapo idadi ya waliouawa imefikia saba hadi sasa na inadaiwa huwaua watu na kupotea bila kutambuliwa. Jambazi hilo lisilofahamika liliua watu hao usiku wa Januari...
NYOTA WA MUZIKI WA INJILI MAREKANI AFIWA NA BABA YAKE MZAZI Mwimbaji anayetamba na wimbo wake maarufu "Break every chain" Tasha Cobbs wa nchini Marekani amefiwa na baba yake mzazi askofu Fritz Cobbs katika taarifa ambayo ilitolewa na mwimbaji mwingine wa injili nchini humo James Fortune kupitia mitandao ya kijamii kwakuwataka wapenzi wa muziki wa injili kumkumbuka katika maombi mwimbaji huyo kwakuwa amefiwa na baba yake mzazi. Aidha kwa upande wake Tasha hakuandika chochote kuhusu msiba huo isipokuwa amewashukuru mashabiki na wapenzi wa muziki wa injili kwa maombi yao na kumalizia...
WATATU MATATANI KWA MAKOSA TOFAUTI LIKIWEMO LA DITRICK SWADIKO KUTUHUMIWA KUMBAKA MTOTO WA MIAKA MINNE RPC -MUNGI MWANDISHI ,DIANA BISANGAO WA MATUKIO DAIMA.COM, IRINGA    JESHI la polisi mkoani Iringa linawashikirilia watu wawili kwa makosa mawili tofauti likiwemo la Ditrick Swadiko (18) mkazi wa Ndiuka kata ya Ruaha kumbaka mtoto  wa miaka 4. Akizungumza na mtandao huu wa www.matukiodaima.com ofisini kwake leo Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Ramadhani Mungi alithibitisha kutokea kwa tukio hilo lililotokea tarehe 20 januari majira ya saa 4 na nusu usiku.   Mungi alisema...

VIJANA WA BODABODA WAFANYA KUFURU MBEYA

         VIJANA WA BODABODA WAFANYA KUFURU MBEYA
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 ...
BAADA YA KAZI NZITO 2013, KWETU PAZURI WAPONGEZANA Sarah Uwera mmoja kati ya solo hodari wa Ambassadors akiwa katika pozi. Baada ya kazi nzito ya utumishi waliyoifanya mwaka jana, kwaya ya mabalozi wa Yesu ama waite Ambassadors of Christ wanaofahamika zaidi kwa album yao ya Kwetu Pazuri kutoka nchini Rwanda, waliamua kuwa na siku ya kipekee kwa wanakwaya wote kwenda ufukweni kupongezana kwa kazi ya kumuhubiri Kristo wanayoifanya. Katika pikiniki yao iliyofanyika ufukwe wa Rwesero huko nchini kwao, walishinda pamoja wakipeana shuhuda, kula pamoja, michezo pamoja na uimbaji ambapo...
MWAKA WA NEEMA KWA MATHA MWAIPAJA PAMOJA NA MMEWE JOHN SAIDI   MUNGU AMEWABARIKI MTOTO WA  KIUME WIKI HILI AMEJIFUNGUA SALAMA BILA OPARESHENI UTUKUFU KWA MUNGU.         Matha mwaipaja siku ya send off yake akiwa na mumewe mchungaji john said. Mwimbaji wa nyimbo za injili matha mwaipaja anayetamba na  albamu mbalimbali kama vile Ombi langu kwa Mungu na kwa msaada wa Mungu, wiki hii ya tare. 7 januari 2014 Mungu alimsaidia kujifungua mtoto wa kiume....
MKOA WA IRINGA WAJISIFU KWA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI MWAKA 2013 Wanahabari   wakiwa katika  kikao  hicho  leo Mkuu  wa  mkoa  wa  Iringa  Dr  Christine Ishengoma  akizungumza na wanahabari  leo  juu ya utekelezaji  wa Ilani  ya uchaguzi kwa  mwaka 2013 Wanahabari  wa  vyombo  mbali mbali  wakifuatilia  kikao  cha  Rc  Iringa Wakuu  wa  idara   wakiwa  katika  kikao  cha  mkuu wa  mkoa  na ...
KIKAO CHA CHANGIA TIMU YA LIPULI FC CHAFANYIKA ,WAJUMBE WATOA YA MOYONI Wadau  wa Lipuli Fc  kutoa taasisi  mbali mbali  kutoka taasisi  za  kifedha Mlezi  wa  timu  ya  Lipuli Fc Mkuu  wa  mkoa  wa Iringa Dr Christine Ishengoma  akifuatilia kikao  hicho Mlezi  wa  timu ya  Lipuli Fc mkuu wa mkoa wa Iringa Dr Christine Ishengoma akifungua kikao  cha changia  Lipuli Fc /> Wazee  wa  timu ya  Lipuli Fc  wakiwa  katika  kikao...
................................................................................................................... ............................... MKAZI  wa Kijiji cha Ihowanza  wilaya  ya  Mufindi mkoani Iringa John Nwali (40)  akutwa amekufa baada ya kutoweka nyumbani  kwake kwa  wiki  moja   mara  baada ya  shamla  shamla  za kuuaga  mwaka mpya  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa Ramadhan Mungi alithibitisha kutokea kwa tukio hilo leo alipokuwa akizungumza na mtandao huu wa www.matukiodaima.com ofisini...
JAMANI MANABII NA MITUME KWELI HAYA NDIO MAOMBI KULA MANYASI? MWE WAPENDWA KUWENI MAKINI Mdada akila majani ambayo huduma hiyo wanasema ni chakula kutoka mbinguni mwe! Kuna mengi ambayo yamekuwa yakizungumzwa kuhusu huduma za watumishi mbalimbali, moja wapo ni hii huduma iitwayo Rabboni Centre ministries iliyopo Pretoria nchini Afrika ya kusini, huduma hii iliyochini ya mwanzilishi wake mwalimu ,mchungaji na nabii Daniel Lesego ilianza mwaka 2002. Ni huduma ambayo kwa watu wasioabudu hapo huitilia mashaka kutokana na mwenendo wake. Kwasasa wapo kwenye mfungo ambao watu hufika kanisani...

SHORT HISTORY ABOUT WILLIAM MGIMWA

         SHORT HISTORY ABOUT WILLIAM MGIMWA
William Augustao Mgimwa (20 January 1950 – 1 January 2014) was a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Kalenga constituency from 2010 to 2014. He also served as Tanzania's Minister of Finance from 2012 to 2014.[1] Contents 1 Early life and career 2 Death 3 Publications 4 References 5 External links Early life and career He was educated at Mafinga Seminary and Tosamaganga Seminary schools. He thereafter joined the Institute of Finance Management and the Institute of Development Management (present day Mzumbe University) for his MBA in finance. He had worked at the National...
SIKILIZA OVERCOMERS RADIO 98.6  KATIKA KUFAHAMU  NINI KINAENDELEA KUTOKA KATIKA JIJI CHA MAGUNGA AMBAPO MH.RAIS KIKWETE ANAONGOZA MAZISHI YA DR. MGI...
MAN UNITED MWAKA WA TABU, YATOLEWA KOMBE LA FA, YAPIGWA 2-1 NA SWANSEA Home » Unlabelled » MAN UNITED MWAKA WA TABU, YATOLEWA KOMBE LA FA, YAPIGWA 2-1 NA SWANSEA MIKOSI imeendelea kwa kocha David Moyes, baada ya Manchester United kufungwa mabao 2-1 na Swansea katika Raundi ya tatu ya Kombe la FA na kutolewa. Bao lililoizamisha United iliyocheza pungufu ya mchezaji mmoja lilifungwa na Wilfried Bony dakika ya mwisho na Mashetani Wekundu wa wanatolewa katika raundi ya tatu kwa mara pili ndani ya miaka 30. Javier Hernandez aliisawazishia United dakika ya 17 baada ya Wayne Routledge...
BALOZI WA TANZANIA NCHINI AFRIKA KUSINI AELEZEA SABABU ZA KIFO CHA WAZIRI MGIMWA...!! WAKATI kukiwa na maswali mengi juu ya nini kilichosababisha kifo cha Waziri wa Fedha na Uchumi, marehemu Dk. William Mgimwa, Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Radhia Msuya amesema kifo chake ni cha kawaida na kimetokana na viungo vyake kushindwa kufanya kazi. Balozi Msuya ametoa kauli hiyo Read more ...
"Tundu Lissu ajue yeye ni kifaranga tu, Mimi namtaka mama wa kifaranga Ajitokeze".....Zitto Kabwe..!! ====Huu  ni  ujumbe  wa  Zitto Kabwe  kujibu  mapigo  ya  Tundu Lissu=== ** Lissu anasema nimepewa magari 2 na Mzee Mkono. Anasema kaambiwa na Mkono. Naamini Mkono alimwambia pia mwaka 2005 alimpa Freeman Aikaeli Mbowe tshs 40m ili Mbowe asifanye kampeni Musoma vijijini.   Nadhani alimwambia pia mwaka 2008 (baada ya orodha ya mafisadi kutangazwa 2007) Mkono alimpa Freeman tshs 20m za uchaguzi wa Tarime na Freeman akasema kwenye chama...

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog