Video inayoonyesha Rais Mugabe akianguka kwenye ngazi.
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe tumesikia mara nyingi akiwa na migogoro na mataifa ya Ulaya, Marekani ishu kubwa ni kitendo cha Mugabe kuonekana akiendelea kung’ang’ania madaraka kwa kipindi kirefu.
Video, picha na story kubwa mitandaoni
kwa sasa ni ishu ya Rais huyo kuanguka wakati akishuka ngazi baada ya
kuhutubia wanachama wake Harare, baada ya kumaliza kuhutubia
alisalimiana na viongozi kadhaa wa Chama hicho halafu akawa anashuka
ngazi, akaishiwa nguvu na kuanguka chini, walinzi wakamuinua na
kumpeleka kwenye gari yake.
Kwenye video Mugabe anaonekana akishuka ngazi lakini hali yake ni kama mgonjwa au mtu aliechoka.
0 comments:
Post a Comment