ROBERTO MARTINEZ ALALAMIKIA MAAMUZI YA REFA DHIDI YA GARETH BARRY
ivanovic akiamulia ugomvi
ivanovic akimkaba James McCarth
Roberto Martinez anena ya kwake kuwa licha ya chelsea kushinda goli 1 lililofungwa na willian dk 85 jana dhidi ya everton lakini wachezaji wa chelsea walikuwa ndio chanzo cha mchezaji wa everton gareth barry kupewa kadi nyekundu hii ni baada ya ya kuoneshwa kadi mbili za njano,lakini ilionekana wachezaji wa chelsea kumzonga refa ili kulazimisha maamuzi yaliyomkuta gareth barry.
0 comments:
Post a Comment