Janga la moto limeendelea kuikumba shule ya sekondari ya idodi baada ya hii leo moto kuzuka na kuunguza vyumba kumi na mbili na kuteketeza nguo mashuka manranka na kuwaacha wanafunzi wakibaki na nguo walizokuwa wamevaa tu,
Akizungumza na mtandao huu mwalimu mkuu wa shule hiyo Christopher mwakamola amesema moto huo ni kama ajali nyinngine na ametoa wito kwa kwa wadau kuweza kusaidia katika janga hilo kwa msaada wa haraka zaidi
0 comments:
Post a Comment