MKUU WA SHULE YA SEKONDARI IDODI AMKIMBIA MBUNGE CHIKU ABWAO.
habari na fred mgunda
Mbunge wa viti maalumu kupitia chama cha demokrasia na maendeleo chadema CHIKU ABWAO ametoa msaada wa shiringi milioni moja katiak shule ya sekondari ya idodi iliyopata ajali ya moto siku tatu zilizopita.
Akiwa katika eneo la tukio mbunge wa CHIKU ABWAO ameishauri serikali kujenga mabweni kwa mtindo wa kuwawezesha wanafunzi kuishi kumi katika bweni moja tofauti na sasa ambapo wanafunzi wanaishi zai ya mia na ishirini katika bweni moja.
Lakini pia mbunge huyo alisikitiswa na uongozi wa shule hiyo kushindwa kumpokea kama mbunge na mama aliyeguswa na ajali ya moto katika shule.
MBUNGE AMBWAO AKIANGALIA BAADHI YA VITU VILIVYOTEKETEA |

0 comments:
Post a Comment