Emmanuel mgogo akiwa na mkewe mtarajiwa |
TAZAMA VIDEO YA MSIKILIZE MUNGU YA EMMANUEL MGOGO.
STORY,.
Mwanamuziki nguli wa mziki wa injili anayetamba na albamu mbalimbali kama vile Ipo wapi njia ile,Msikilize mungu,na Usipotelee mwishoni hatimaye baada ya maisha ya upweke sasa amemsikiliza Mungu na tare 14 november mwaka huu anatarajia kufunga ndoa katika kanisa la eagt iyunga jijini Mbeya
akizungumza na mtandao huu Emmanuel Mgogo amesema mpaka sasa maandalizi yanaendelea vizuri hivyo anamwamini mungu kuwa ataifanikisha siku hiyo.
TAZAMA VIDEO ZAKE HAPO CHINI.
0 comments:
Post a Comment