Zikiwa ni siku chache baada ya mashine za MRI kuanza kufanya kazi
katika hospitali ya Taifa Muhimbili, taarifa iliyonifikia leo kutoka kwa
uongozi wa hospitali hiyo huduma hizo zimesimamishwa kwa muda kuanzia
leo kwa ajili ya matengenezo.
Mashine hizo zilianza kufanya kazi baada ya agizo la Raid Dk.Magufuli kufanya ziara ya kushtukiza hospitalini hapo na kukuta mashine zote mbili za MRI na CT Scan zikiwa mbovu
Wiki iliyopita huduma za MRI zilianza kufanya kazi baada ya mashine hiyo kutengenezwa lakini siku chache zilizopita ilionekana kuwa na hitilafu ya kiufundi ambayo inahitaji matengenezo.
Mkuu wa kitengo cha mawasiliano ya umma Aminiel Eligaesha amesema tayari uongozi wa hospitali unawasiliana na kampeni iliyopewa kazi ya kutengeneza ili kurekebisha hitilafu hizo.
Barua yao ilisomeka hivi..

0 comments:
Post a Comment