Ishu ya kupiga vita uvutaji wa sigara
hadharani imekuwa ikigusa headlines kwenye nchi mbalimbali… kuna athari
pia ambayo mtu akikutana na moshi wa sigara anayapata, hiyo ndio sababu
iliyofanya nchi kama Uingereza waweke sheria kudhibiti uvutaji sigara
hadharani !!
China nao hawako nyuma… June 2015
walipitisha sheria kuzuia uvutaji sigara kwenye maeneo ambayo kuna watu,
ukikamatwa ni faini, kifungo au vyote viwili kwa wakati mmoja.
Sasa ninayo ripoti ambayo imenifikia
kuhusu kiasi cha pesa kilichokusanywa ndani ya miezi mitano tangu siku
ambayo sheria yao mpya imepitishwa June 2015, unaambiwa kiasi cha pesa kilichokusanywa ni kama dola 89,230 ambazo kwa TZ inagusa kama Milioni 192 hivi, hiyo ni faini tu.
Kwenye maeneo ambayo ukinaswa unavuta
hakuna msamaha ni kama mahotelini, maofisini, migahawani, na kwingineko
ambako kunakuwa na mkusanyiko mkubwa wa watu !!
0 comments:
Post a Comment