Emmanuel Mbasha alimaarufu E.Mbasha siku ya jana alifanya sherehe ya kumshukuru Mungu baada ya kumshindia kesi yake. Sherehe hiyo iliyofanyika nyumbani kwake Tabata Chang’ombe ili udhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo ndugu zake Mbasha,Marafiki,Majirani pamoja na Wazazi wa Mbasha.
Mbasha aliye onekana mwenye furaha sana aliiyambia Unclejimmytemu.com leo ni siku ya kufurahi tu…yani ni siku ya kunywa,kula na kucheza…..unajua Uncle Jimmy kama sio Mungu kunishindia kesi yangu leo ningekua Jela,ila namshukurua Mungu amenishindia kesi yangu waliokua wamenitegea mtego wameumbuka alisema Mbasha.
Unclejimmytemu.com aikuishia hapo ilitaka kujua Emmanuel Mbasha anampango wa kurudiana na mke wake Flora Mbasha………..?
Emmanuel Mbasha-NUKU (Ilo nisinge penda kuliongelea ilo alipo ilo naliweka pembeni siliongelei kwa sasa hivi mana leo tunafurahiaaa leo furaha tuna mtukuza Mungu….Tumechinja ngombe Ngombe mkubwa sanaa kwaiyo tuna furahia kila kitu kipo freshi nasonga mbele )
Utategemea Kuoa baada ya hapa-NUKU (Eee Eee Mtumishi wa Mungu hilo sina la kujibu lakini Mungu ni mwema atafanya njia kama mtu kaendaa kaondoka mwenyewe sasa kipi kitakacho fatia) Mwisho wa Kunuku.
Kama kawaida ya Unclejimmytemu.com ni sehemu ya kupata Exclusive ya matukio ya tasnia ya Gospel Tanzania.Kuwa karibu yetu kwa matukio ya picha na Habari za Gospel. Mdau wangu video kamili ya Interview ya Emmanuel Mbasha na Uncle Jimmy utaipata soon
0 comments:
Post a Comment