HII KALI..!! MAITI ZA WATU WATATU ZAKUTWA ZIMEHIFADHIWA KWENYE FRIJI KAMA SODA.
Maiti
za watoto wachanga zipatazo tatu zimekutwa zimehifadhiwa kwenye mfuko
mweusi wa plastiki wa kutunzia taka na kisha kuwekwa katika jokofu la
familia moja na mwili mwingine ulifunikwa kwa nguo.
Jokofu
Inasemekana
vichanga hivyo vinakadiriwa kuwa na umri wa mwezi mmoja,na miili hiyo
iligunduliwa na rafiki wa mwenye nyumba walikokutwa vichanga
hivyo,ambaye alielekea jiji la Johannesburg kwenye maziko ya mpenzi
wake.
Anita
King, msaidizi wa ndani alitakiwa na mwajiri wake aifanyie usafi nyumba
yake na wao wanaelekea mazikoni,na Anita alipokuwa katika utekelezaji
wa kazi hiyo,akagundua haruku kali ikiingia puani mwake ikitokea katika
jokofu la nyumba hiyo.
Naye
akadhani labda nyama imeharibika katika friji hilo,na anaeleza ilikuwa
ni harufu kali na nzito,na akahisi pengine hayo yamesababishwa na
kukatika kwa umeme nchini humo,hivyo akaamua kulifanyia usafi friji hilo
na sehemu ya kugandishia.
Anita anasema,ndani ya jokofu hilo nikakuta mfuko mkubwa wa plastiki wa kuhifadhia taka.
Na
mara nlipoufungua mfuko huo nilikumbana na harufu kali mno na mara
ikasambaa katika nyumba yote na hata nje ya nyumba pia.sikuyaamini macho
yangu anasema Anita niliona kijimkono na kichwa cha mtoto
mchanga.sikuwahi kuona kitu kama hiki maishani mwangu anasema Anita .
Wakati
wa msiba wa mpenzi wa mwajiri wake! Wageni walikuwa wakipewa mahitaji
ya chakula kutoka katika jokofu hilohilo na masalia ya vyakula
yalihifadhiwa katika jokofu hilo.
Hata hivyo majirani wanawaelezea wenye nyumba hiyo mahali ambako maiti hizo zilikutwa kuwa ni wacha Mungu na wapenda watoto.
0 comments:
Post a Comment