SIMANZI: AJINYONGA BAADA YA MATOKEO YAKE YA FORM 4 KUWA MABAYA.. MUANGALIE HAPA.
Imekuwa
kawaida kila mwaka pale ambapo matokeo yanapotoka watu wengenge
utalajia mambo mazuri ata yulealiye kuwa kilaza dalasani naye anaamini
atafaulu tu ila matokeo yake mambo yanakuja kutokana na kile ulicho
panda kama ulipanda mawe basin ni mawe unatakiwa kuvuna
Kinachosikitisha Zaidi ni pale wanapo chukua hatua kama huyu
Kijana
mmoja ajulikanaye kwa jina John Maduhu wa KIjiji cha Pandagichiza,
Wilaya ya Shinyanga vijijini kaamua kujinyonga baada ya matokeo ya
kidato cha nne yaliyotoka jana kumjia vibaya, akiongea na mwandishi,
kaka wa marehemu alisema kuwa baada ya matokeo kutoka, JOhn alitoweka nyumbani
0 comments:
Post a Comment