JESHI LA POLISI MKOANI IRINGA LINAMSHIKILA MTU MMOJA KWA TUHUMA YA KUMWUA BABA AKE MZAZI,
AKITHIBITISHA KUTOKEA KWA TUKIO HILO MWENYEKITI WA KIJIJI CHA MAWAMBALA KILICHOPO KATA YA UKUMBIMBI WILAYA YA KILOLO MKOANI IRINGA ,BWANA ESTRINO LUSOKO SIKU YA JUMAMOSI MAJIRA YA SAA NANE USIKU ALIPIGIWA CM JUU YA MAUWAJI HAYO NDIPO JPILI ASUBUHI ALIPOKWENDA NA WANAINCHI ENEO LA TUKIO NA KUMKUTA BWANA PASKALI MITAO AKIWA AMEFARIKI DUNIA BAADA YA KUPASULIWA ENEO LA SHAVUNI CM KUMI KUINGIA NDANI,
HATA HIVYO MWENYEKITI HUYO AMESEMA KUWA CHANZO CHA TUKIO HILO BADO KINACHUNGUZWA NA MTUHUMIWA ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI
0 comments:
Post a Comment