Bondia
maarufu nchini Fransic Cheka baada ya kuhukumiwa kifungo cha miaka 3
leo mchana baada ya kumpiga mangumi meneja wake ....
Picha za Kwanza za Bondia Maarufu Akipanda Gari Kuelekea Kuanza Kifungo Chake Leo
Taarifa iliyoifikia Malunde1 blog hivi punde,inaeleza kuwa Bondia maarufu hapa nchini,Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha Miaka mitatu (3) jela kwa kukutwa na hatia ya kumpiga na kumjeruhi Meneja wa Bar yake iliyopo mjini Morogoro.
Hukumu hiyo imetolewa leo kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi,Mkoani Morogoro.
0 comments:
Post a Comment