SAMIR NASRI AFUFUKA.....................
hatimaye Samir Nasri afufuka na kuifanya Manchester city kuibuka na ushindi wa goli 4 kwa 1 dhidi ya wenyeji wao Stoke city katika uwanja wa britania,mapema dakika ya 33 sergio aguero aliifungia man city,ukiwa ni ushindi wa kwanza tangu mwaka mpya uanze....
0 comments:
Post a Comment