MAAJABU..!! MTOTO AZALIWA AKIWA NA UJAUZITO WA WATOTO MAPACHA.
Mara
nyingi tumezoea kusikia matukio ya ajabu, mengine yakiingia kwenye
historia na kuacha kumbukumbu zisizofutika kama hii ya mtoto aliyezaliwa
China na kugundulika kuwa ni mjamzito.
Mtoto huyo aliyezaliwa Katika Hospitali ya Queen Elizabeth na kugundulika kuwa ana ujauzito wa watoto mapacha wiki tatu tangu azaliwe kitendo kilichowalazimu madaktari kumfanyiwa upasuaji.
Daktari bingwa wa uzazi Dr Yu Kai-man amesema
haikuwa rahisi kumchunguza mtoto huyo ili kujua ujauzito huo, kwa kuwa
ujauzito huo ulikuwa mdogo sana na haikuwa rahisi kufikiri kwamba mtoto
huyo mdogo anaweza kupata ujauzito.
Taarifa
zinasema tukio kama hili lilitokea mwaka 2010 ambapo lilimtokea
msichana ambaye hajafahamika, Shirika la Afya Duniani lilisema hiyo
inaweza kuwa aina ya cancer na inaweza kuhusishwa na kitendo cha mama
kutoa sana ujauzito.
0 comments:
Post a Comment