Mwanamke mmoja mkazi wa kata ya mlandege manispaa ya Iringa aliyejulikana kwa jina la ANNA MOLEO mwenye umri wa miaka 23,amemtupa mtoto mchanga chooni.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kaimu kamanda wa polisi mkoani hapa PRUDENSIANA PROTASI amesema kuwa tukio hilo lilitokea tarehe 09/02/2015 majira ya saa saba mchana.
Kaimu kamanda amesema kuwa chanzo cha tukio hilo ni ugumu wa maisha na mtuhumiwa amekamatwa.
0 comments:
Post a Comment