Home » »

HOT NEWS!!! KUTOKA IRINGA MDOGO MTU AMUUA KAKA AKE KWA KISU KISA UGOMVI WA BAISKEL.

J
Jeshi la polisi mkoani iringa linamshikilia mwanafunzi wa darasa la tatu katika shule ya msingi mgama kwa kumua kaka yake kwa kumchoma kisu eneo la ubavuni 

Akithibitisha kutoke kwa tukio hilo kaimu kamanda mkoa wa iringa Pudenziana protasi amesema kuwa tukio hilo limetokea kijiji cha mgama kilichopo wilaya ya iringa na kutaja kuwa chanzo cha tukio hilo Kuwa ugomvi wa baiskel
Hata hivyo amemtaja aliyefariki dunia kuwa ni Joseph john NYANDEKE 18 MWANAFUNZI WA FORM TWO.
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog