![]() |
MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA KILOLO KATIKA KUSHOTO NI MKUU WA WILAYA WAKIWA KATIKA MOJA YA VIKAO WILAYANI HAPO |
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOLO BI RUKIA
AKITAFAKARI JAMBO
Halmashauri ya wilaya ya kilolo mkoani iringa imepitisha rasimu ya bajeti ya bilioni 47,68,558160 katika mwaka wa fedha 2015/2016 itakayotumika katika miladi mbalimbali ya maendeleo.
Akizungumza na nuru fm mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya kilolo ambaye pia ni diwani wa kata ya image Joseph Muumba amesema.
Aidha amesema kuwa katika rasimu hiyo wametoa kipaumbele kwenye miundominu hususani katika barabara ambazo ni muhimu kwa uzalisha wa pato kwa halmashauri..
Hata hivyo ametoa wito kwa wanainchi kufanya kazi kwa umoja ili kuleta maendeleo katika wilaya hiyo.
0 comments:
Post a Comment