EXCLUSIVE:REBECCA MALOPE YUPO TAYARI KUFANYA KOLABO NA WAIMBAJI WA TANZANIA (VIDEO).
Lakini pia Dr. Rebecca alipata time ya kutengeneza jingles/Shout Out akishirikiana na Huruma Moshi pamoja Hudson Kamoga.
Dr. Rebecca amevutiwa sana na mapokezi ya GT ya Clouds Fm na pia alionyesha nia yake ya dhati ya kutaka kufanya collabo na mwanamziki wa Mziki wa Injili Tanzania. Akiwa mwenye furaha kubwa alisema kuwa yupo tayari kufanya collabo endapo mipango itawekwa sawa.
Tazama matukio ya utengenezaji wa Jingles pamoja na Interview alipokuwa kwenye Gospel Traxx ya Clouds Fmleo.
Dr. Rebecca,Huruma Moshi,Huddson Kamoga wakimuelekeza jinsi ya kutamka maneno ya kiswahili kabla ya kuingiza Jingles
Produz wa GT Faraja akiweka vitu sawa kwaajili ya utengenezaji
Hapa Dr.Rebecca akieleza nia yake kubwa ya kufanya kolabo na waimbaji wa Tanzania.
Mtangazaji wa Kiango Radio Belinda akifanya Interview na Dr.Rebecca Malope.
Kushote ni Executive Director wa Unclejimmytemu.com Sia Temu,Rebecca Malope na Belinda
0 comments:
Post a Comment