Jeshi la Kenya Lafanya Shambulio Somalia Kulipiza Kisasi Baada ya Al Shabaab Kuuwa Wanafuzi 148 Kenya.
Ndege za kijeshi za Kenya zimeshambulia maeneo ya wapiganaji wa kundi la Alshabaab katika taifa jirani la Somalia .
Ndege
hizo zililenga maeneo mawili ya jimbo la Gedo,linalotumiwa na
wapiganaji hao kuvuka na kuingia Kenya, msemaji huyo ameongeza.
Maeneo hayo mawili hutumiwa na wapiganaji hao kupanga mshambulizi nchini Kenya.
Wanajeshi wa AMISOM walitarajiwa kupeleka wanajeshi wao katika eneo hilo la Gedo lakini hadi sasa hawajafanya hivyo.
0 comments:
Post a Comment