Zitto Kabwe Afunika Morogoro.....Mamia ya Wananchi Wahudhuria Mkutano wa Chama Chake Cha ACT-Wazalendo
Viongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo wakicheza wimbo wa chama hicho, kwenye eneo la Uwanja wa Ndege mjini Morogoro kabla kiongozi wa chama hicho, Zitto Kabwe hajaanza kuhutubia. (Picha na Said Powa)
Wakazi wa Mji wa Morogoro wakigombea kununua kadi za chama cha ACT -Wazalendo kwenye eneo la Uwanja wa ndege mjini Morogoro.
Wakazi wa Mji wa Morogoro wakigombea kununua kadi za chama cha ACT-Wazalendo kwenye eneo la Uwanja wa Ndege mjini Morogoro.
0 comments:
Post a Comment