Matha mwaipaja katika pozi
Baada ya kukaa kwa muda mrefu tangu kutoka kwa audio cd ya ombi langu kwa mungu hatimaye video yake imekamilika na ipo madukani kote tanzania akizungumza na mtandao huu matha mwaipaja ambye sasa anawania tuzo za AGMA nchini london zitakazo tolewa mwezi wa saba amesema wapenzi wake wa mziki sasa watamuona laivu kupitia video cd watayoinunua ambayo ina nyimbo zenye ujumbe wa kuwaponya na kuwafungua watu
Home »
» OMBI LANGU KWA MUNGU YA MATHA MWAIPAJA DVD KUPATIKANA MADUKANI KOTE SASA KUNZIA MWEZI HUU WA SITA
OMBI LANGU KWA MUNGU YA MATHA MWAIPAJA DVD KUPATIKANA MADUKANI KOTE SASA KUNZIA MWEZI HUU WA SITA
Posted by Unknown
Posted on 11:45 AM
with 2 comments
NIME MKUBALI ALIVYO TUPIA
ReplyDeleteNIME MKUBALI ALIVYO TUPIA
ReplyDelete