HOFU YA FREEMASON YATANDA HUKO NGARA BAADA YA MMOJA KUPIGA NAMBA YA FREEMASON NA KUFARIKI
Mkazi mmoja wa Kabanga
wilayani Ngara mkoani Kagera aliyefahamika kwa jina la vedasto kilosa
amefariki kwa kujinyonga kwa kutumia shuka akiwa hospitali ya Murgwanza
usiku wa kuamkia leo tarehe 14/4/2015.
"Ushirikina umehusika sana
kwa wakazi wa kabanga mtakumbuka kuna siku vikaratisi vyilikutwa
vimesambazwa asubuhi mnamo mwezi wa 11 mwaka jana vikidai kuwa vina
namba za Freemason sasa jamaa inadaiwa alikichukua na kupiga zile namba
tangu siku hiyo akawa anechanganyikiwa akili kwa juhudi za maombi
alipona na kupata nafuu lakini Jumamosi hii alishikwa tena baada ya
chakula alichokuwa amepika yaani wali gafla ulijaa wadudu waliotengeneza
kitu kama kichuguu katikati hali iliyoshitua wengi kwani nn chakula
kigeuke hivyo na gafla mtu ashikwe tena na uchizi. Ndipo alipelekwa
hospitali na kisha jana amekutwa amejinyonga"
0 comments:
Post a Comment