Mwimbaji wa nyimbo za injili jenifer mgendi ambaye ni mwigizaji nguri haba nchini amekuja na albamu nyingine tena mpya ijulikanayo kwa jina la "wema ni akiba''
akizungumza na mtandao huu jenifer mgendi amesema albamu hiyo mpya itaingia sokoni hivi karibuni.
angalia hapa chini baadhi ya video zake....
0 comments:
Post a Comment