BAADA YA GWAJIMA, EMMANUEL MBASHA NAYE AKIKANA KICHANGA KILICHOZALIWA NA FLORA MBASHA.

Baada
ya mchungaji maarufu nchini, Gwajima kukanusha kuwa si baba wa mtoto wa
Flora Mbasha, mume wa muimbaji huyo wa muziki wa injili, Emmanuel naye
amesema hatambui chochote kuhusu kuzaliwa kwa mtoto huyo.
Mbasha
ambaye pia ni muimbaji wa muziki huo amesema ana mtoto mmoja mwenye
umri wa miaka kumi na kwamba taarifa za kuwa Flora amejifungua
anazisikia kama watu wengine.
“Nina
mtoto mmoja, nina mtoto mmoja anaitwa Lizy na kama miaka 10 hivi. Wewe
ndo unanieleza mimi kama amejifungua, kama amejifungua ni jambo jema na
jambo la kumshukuru Mungu,” Mbasha alikiambia kipindi cha Sunrice cha
Times FM.
dah hii nongwa kaka
ReplyDelete