HAYA SASA WAPENZI WA MZIKI WA GOSPEL HHEBU SASA MFAHAMU HUYU

HAYA SASA WAPENZI WA MZIKI WA GOSPEL HHEBU SASA MFAHAMU HUYU
Solomon ambaye pia ni mchungaji anasema kuwa kipaji chake amepewa na Mungu japo anaweka na jitihada zake binafsi.  Nyimbo zake nyingi anajifunza kutoka kwa waimbaji wa injili Tanzania kwani wana nafasi ya kwanza katika soko la muziki huo Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Solomon mwenye asili ya DRC akitokea Goma Mashariki mwa mji huo akizaliwa katika familia ya kumjua Mungu japo anasema kuwa baba yake alikuwa na wake wawili.  Anasema kuwa aliondoka nchini Congo na kuachana na wazazi wake mwaka 2003 ambapo alielekea nchini Uganda na kukaa kwa miaka mitatu na nusu...

HABARI ZAIDI ZA PADRI ALIYEPIGWA RISASI ZANZIBAR USIKU WA JANA

HABARI ZAIDI ZA PADRI ALIYEPIGWA RISASI ZANZIBAR USIKU WA JANA
HABARI ZAIDI ZA PADRI ALIYEPIGWA RISASI ZANZIBAR USIKU WA JANA Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Aziz Juma Mohammed amethibitisha kutokea kwa tukio hilo ambalo alisema Father amepigwa risasi na ameumizwa sehemu ya kichwa na amekuwa akitoka damu nyingi kichwani na tayari anapatiwa matibabu katika hospitali kuu ya Mnazi Mmoja. Alisema jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo ili kubaini wahusika walifanya uhalifu huo kwa madhumuni gani kabla ya kuchukuliwa hatua za kisheria. “Sisi tunahesabu kuwa kitendo hiki ni kitendo cha kihalifu na tunawatafuta wahalifu waliofanya...
MAMIA WAMIMINIKA KATIKA KONGAMANO LA MAOMBI NA MAOMBEZI KWA KATUNZI Mamia ya wakazi wa jiji la Dar es salaam na vitongoji vyake wanamiminika katika kongamano kubwa la maombi na maombezi lililoandaliwa na kanisa la E.A.G.T City Centre chini ya mchungaji wake kiongozi Florian Katunzi katika ukumbi wa PTA uliopo viwanja vya mwalimu JK Nyerere zamani Sabasaba. Kongamano hilo la siku nane lililoanza siku ya jumapili nakutarajiwa kumalizika jumapili hii linatarajia kupambwa na waimbaji mbalimbali wa gospel nchini wakiongozwa na Bahati Bukuku, Masanja Mkandamizaji, Flora Mbasha, Martha Mwaipaja,...

MAMA AMCHOMA MTOTO MOTO NA KUMLISHA KINYESI CHA MAMA MDOGO WAKE

MAMA AMCHOMA MTOTO MOTO NA KUMLISHA KINYESI CHA MAMA MDOGO WAKE
 mtoto anety akionesha jeraha alilounguzwa na mama yake  mama ambaye jina lake halikufahamika akiwa amembeba mtoto tayari kwa kumpeleka hospitalini MTOTO aliyejulikana kwa jina moja la Aneth (pichani) anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka miwili, mkazi wa eneo la Majengo Kaskazini jijini Mbeya ameunguzwa vibaya mwili wake na kulazimishwa kula kinyesi na Mama yake Mdogo aliyejitambulisha kwa jina la Revina.Tukio hilo la kikatili liligundulika jana eneo hilo majira ya saa tano asubuhi ambapo mwandishi wa habari hizi alifika eneo la tukio na kuukuta umati wa watu na mtuhumiwa...

HAKIKA KUMTEGEMEA MUNGU INALIPA

HAKIKA KUMTEGEMEA MUNGU INALIPA
 HEBU MWANGALIE MWIGIZAJI MFILIPINO AMBAYE NI MTU ANAYE MJUA MUNGU KWELIKWELI Mwigizaji huyu ni kati ya waigizaji wanaompenda Mungu ambapo mpaka sasa bado yupo katika ndoa yake na mkewe mpenzi Glydel Mercado ambaye pia ni mwigizaji, kabla ya ndoa uhusiano wao ulidumu miaka 6 kisha alimvalisha pete ya uchumba mkewe baadaye ndani ya miezi 2 aliweza kufunga naye ndoa. Wasimamizi wao ni marafiki wao wakubwa mwanamama Lorna Tolentino (Red Butterfly) pamoja na marehemu mumewe Rudy Hernandez. Mwigizaji huyu ametoka katika familia ya wasanii baba yake mzazi Eddie Gutierrez na mama...
PADRI AFARIKI BAHARINI WAKATI AKIOGELEA Mkuu wa Shirika la Kitawa la Consolata la Kanisa Katoliki nchini, Padri Salutaris Massawe (pichani) amefariki Dunia baada ya kuzidiwa na maji ya Bahari wakati akiogelea katika ufukwe wa Pwani ya Bagamoyo Oktoba 25. Padre huyo ambaye alikuwa yupo Bagamoyo kwa shughuli za shirika lake, alizidiwa na maji hayo ambayo yalimchukua majira ya alasili ya siku hiyo wakati alipokuwa akiogelea pamoja na wageni wa shirika hilo walioitembelea Bagamoyo. Mwili wa Marehemu Padri Salutaris Massawe ulipatikana jana asubuhi katika fukwe hiyo...

ASKOFU MKUU WA TANZANIA ASSEMBLIS AZINDUA MAABARA YA KISASA KATIKA SHULE YA SEMINARY EBENEZER MKOANI IRINGA

ASKOFU MKUU WA TANZANIA ASSEMBLIS AZINDUA MAABARA YA KISASA KATIKA SHULE YA SEMINARY EBENEZER MKOANI IRINGA
Wito umetolelewa kwa wanafunzi wanao hitimu kidato cha nne hapa nchini kuweza kuendeleza nidhamu zao hata baada ya kuhitimu kwani hiyo ndo njia pekee itakayowawezesha wanafunzi kufaulu na kukamilisha malengo yao ya hapo baadae. Wito huo umetolewa na Askofu mkuu wa kanisa la Tanzania assemblia of god   Dr Barnabas Mtokambali katika mahafali ya tatu ya kidato cha nne ya shule ya seminary ebenezer iliyopo nduli jirani na uwanja wa ndege manispaa ya iringa. Ambapo mbali na maafari hayo Askofu Mtokambali aliweza kuzindua rasmi maabara ya kisasa itakayo wasaidia wanafunzi wote wanaosoma...
KANISA LA BETHEL PENTECOSTE BUZA NALO LAPATA KISANGA CHA MOTO Wakati jeshi la polisi na lile la wananchi (JWTZ) waliweza kutuliza hali ya uvunjifu wa amani ikiwa pamoja na maandamano yaliyokuwa yamepengwa kufanywa na waumini wa dini ya kiislamu kuelekea ikulu ili kushinikiza kuachiwa huru kwa sheikh Ponda Issa Ponda na waumini wengine wa dini hiyo waliokamatwa kwa tuhuma za kuchochea vurugu za kidini nchini. Huko Buza njia panda ya kuelekea Kitunda jijini Dar es salaam, watu wasiofahamika wamelichoma moto upande mmoja kanisa la Bethel Pentecoste linaloongozwa na mchungaji Emanuel...
MAKANISA 2 YOMBO NUSURA KUCHOMWA MOTO, MAASKOFU LUTHERAN WATOA SALAMU JUU YA VITENDO HIVYO Watu wasiofahamika usiku wa kuamkia leo wamevamia kanisa la kilutheri Yombo jijini Dar es salaam kwa lengo la kufanya uharibifu kanisani hapo majira ya saa 9 kasoro za usiku lakini walinzi wa kanisa hao walifanikiwa kuzuia zoezi lao hilo. Kwa mujibu wa mmoja wa watu waliofika kutoa msaada baada ya walinzi hao kugonga kengele iliyowaamsha wakazi wa eneo hilo ambaye pia husaidia kazi ya ulinzi kanisani hapo bwana Hosea Mbwambo amesema vijana wapatao saba waliingia kanisani humo kwa kuruka ukuta...
JE? MWIMBAJI WA ''MY GOD IS GOOD'' PASTOR UCHE AMEJITOA JOYOUS CELEBRATION? Pastor Uche akiimba Solid Rock ndani ya Joyous 15 part 2. Baada ya kuwemo ndani ya kundi la Joyous Celebration kwa takribani miaka 5, mwimbaji aliyejipatia umaarufu sana duniani ikiwa pamoja na kulitangaza vyema kundi hilo Pastor Agu Uchechukwu au unaweza kumuita Pastor Uche a.k.a Double double yawezekana album ya 16 ndio ilikuwa ya mwisho kwa mwimbaji huyo akiwa na kundi hilo. Hali hii yakujiuliza maswali kama haya ni hivi karibuni JC imetangaza tarehe ya kurekodi album yao mpya ya 17 ambayo itafanyika mwezi...
WANANCHI RUKWA WATEKETEZA SHAMBA LINALOMILIKIWA NA KANISA LA EFATHA Shamba la Malonje linalomilikiwa na Kanisa la Efatha limepata hasara kubwa baada ya wananchi wa kijiji cha Sikaungu wilayani Sumbawanga vijijini mkoani Rukwa, kujichukulia sheria mkononi na kuvamia moja ya kambi ya mashamba hayo ijulikanayo kama sikaungu na kuyateketeza kabisa matrekta mawili makubwa mawili aina ya New Holland na kubomoa baadhi ya nyumba zilizopo katika kambi hiyo. Mchungaji kiongozi Michael Meela wa kanisa la Efatha mkoani Rukwa akiongelea kuhusu suala hilo amesema hasara iliyopatikana kutokana na...

MWIMBAJI ANAYEIBUKIA KATIKA UIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI KIJANA DANNY SANGA AFANYA MAKUBWA IRINGA KATIKA UKUMBI WA IDYDC

MWIMBAJI ANAYEIBUKIA KATIKA UIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI KIJANA DANNY SANGA AFANYA MAKUBWA IRINGA KATIKA UKUMBI WA IDYDC
                                  Hapa mwimbaji danny akionesha utundu aliopewa na mungu  hakika ukumbimni palikuwa hapatoshi kila mmoja alitamani kuruka hadi juu  baadhi ya umati wa watu waliohudhuria katika huduma ya overcomers power cente...

NIWAKATI WA KUOMBA DUNIA SASA IMEHARIBIKA

NIWAKATI WA KUOMBA DUNIA SASA IMEHARIBIKA
HIVI NDIVYO MWANANCHI WA KIJIJI CHA WENDA ALIVYOCHUNWA NGOZI Hivi ndivyo  mkazi  wa Wenda  alivyochunwa  ngozi na  watu  wasiojulikana (Tunaomba Radhi kwa  picha hizi ) Hii  ndio  nyumba  ulimokutwa mwili  wa  mkazi huyo eneo la  tukio Baada ya siku mbili mtandao huu kuripoti tukio la kusikitisha kilichohusisha mauaji ya kinyama ya dereva wa bodaboda sadiki mbelwa (26) katika kijiji cha wenda, Tanangozi Iringa ambapo mwili wa marehemu ulikutwa ukiwa na majeraha sehemu za kichwani huku ikisadikiwa kupigwa...
MADAM RUTI ALIA NA MAKANISA Mwimbaji wa muziki wa injili nchini, Madamu Ruti Mwamfupe amedai kulizwa na makanisa yanayoshindwa kuwasaidia watu wenye uhitaji kama wagonjwa waliolazwa hospitalini. Akizungumza  Dar es salaam jana, Madamu Ruti alisema hospitalini kuna baadhi ya watu ambao hawana fedha za kununua hata chakula, wakati watumishi wa Mungu wanakula na kusaza.'' Hata vitabu vitakatifu vinasema; dini iliyosafi isiyo taka mbele za Mungu Baba ni hii, kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao ya kujilinda na dunia,'' alisema Madamu. Mwimbaji huyo alisema, endapo...
ASKOFU MWASOTA AVUNJA UKIMYA TUHUMA ZA KUNASWA NA KUNDI LA FREEMASON Askofu David Mwasota, katibu wa baraza la makanisa ya kipentekoste nchini CPCT.                           Hatimaye Katibu Mkuu wa Baraza la makanisa ya Kipentekoste Tanzania (CPCT) Askofu David Mwasota, amevunja ukimya wa tuhuma zilizosambazwa sehemu mbali mbali zikieleza kuwa amenaswa na kundi la siri la waabudu shetani Freemasons. Akiongea na chanzo cha habari cha blogger kwa uchungu, Askofu Mwasota alisema: “Ndugu yangu naona haya ni...
MTUHUMIWA WA MAUAJI YA MWANAHABARI DAUDI MWANGOSI AFIKISHWA MAHAKAMANI LEO Mtuhumiwa alijifunika kwa kofia akiwa chini ya ulinzi mkali wa Polisi Gari lililomleta mtuhumiwa Siku ambayo Daudi Mwangosi alipouwawa kwa bomu katika kijiji cha Nyololo Mufindi Mtuhumiwa wa mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa kituo cha televisheni cha Channel Ten Daud Mwangosi leo amefikishwa mahakamani.mwandishi maalum wa mtandao huu wa www.francisgodwin.blogspot.com kutoka Iringa anaripoti kuwa ,Mtuhumiwa huyo amefikishwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mfawidhi ya Wilaya kujibu shitaka lilalomkabili.Kwa ...

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog