Home » » SOMA NA USIKILIZE HAPA UNDANI WA MOTO ULIOUNGUZA BWENI LA SHULE YA SEKONDARY YA IDODI MKOANI IRINGA

SOMA NA USIKILIZE HAPA UNDANI WA MOTO ULIOUNGUZA BWENI LA SHULE YA SEKONDARY YA IDODI MKOANI IRINGA




                Haya ni baadhi ya vyumba vya mabweni yaliyoungua
 shule ya sekondari  Idodi iliyopo katika kijiji idodi  wilaya ya Iringa vijijini mkoani Iringa kumetokea ajari ya moto iliyounguza vyumba 6 vya bweni la wasichana hali iliyofanya shule hiyo ifungwe kwa wiki mbili.

Insert kamanda idodi 1..................

Kamanda wa polisi mkoani Iringa  amesema jeshi la polisi linaendeleakuchunguza nini chanzo cha ajari hiyo kutokea ikiwa ni  mara ya tatu kutokea kwa ajali ya moto katika shule ya sekondari idodi.

INSERT kamanda idodi 2..........

Aidha kamada wa polisi ameongeza kuwa katika uchunguzi wao watahusisha watu wenye taaruma ya ujenzi, na  Tanesco, wakishirikiana na jeshi la polisi ilikujua nini chanzo cha moto huo.

INSERT  kamanda 3............

Na Katika ajali hiyo hakuna madhara makubwa  kwa maisha ya binadamu yaliyowakuta wanafunzi  lakini mali zao zimeteketea kwa moto na huku  tathimini yakujua thamani ya  vitu vyao inaendelea kufanywa.

Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog