Home » »

MAMLAKA YA MAJI KAHAMA "KUWASA" YATOA MSAADA KWA WAHANGA WA MVUA YA MAWE ILIYOUWA WATU 46 WILAYANI KAHAMA


Mamlaka ya Maji Kahama KUWASA imeungana na mashirika mbalimbali nchini na watu wengine kutoa misaada ya kibinaadamu kwa waathirika wa janga la mvua ya mawe iliyouwa watu 46 na kujeruhi wengine zaidi ya 90 wilayani Kahama Mkoani Shinyanga.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Afisa uhusiano wa KUWASA, msaada huo wenye thamani ya shilingi laki tano (500,000) umetolewa juzi imetoa msaada juzi wenye katika ofisi za mkuu wa wilaya ya Kahama Benson Mpesya.

Mkama ametaja misaada hiyo kuwa ni pamoja na Vyakula na Maturubai kwa ajili ya Malazi kwa wahanga hao.

ANGALIA MATUKIO ZAIDI KATIKA PICHA HAPA CHINI:-










Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog