STENDI MPYA IGUMBILO HATIHATI KUJENGWA IGUMBILO, WAZIRI APIGA STOP HARAKATI ZA UJENZI WAKE
| Dk Mahenge akiwa na viongozi wa mkoa na Manispaa ya Iringa katika eneo linalolalamikiwa na wadau wa maji, lisijengwe stendi hiyo |
| Wakiangali Mto Ruaha Mdogo |
| Pana ka umbali |
| Eeneo lenyewe ndio hilo |
| Mto Ruaha Mdogo |
Habari kamili kuhusiana na taarifa hii itakujia kesho; Utasoma kauli ya waziri, mkuu wa mkoa, katibu tawala wa mkoa, mstahiki meya, naibu meya, mkurugenzi wa NEMC na Bonde la Rufiji.

0 comments:
Post a Comment