DK SLAA KUZINDUA KESHO KAMPENI ZA CHADEMA UCHAGUZI MDOGO KALENGA, CCM KUANZA JUMAPILI Dk Slaa KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Wilbroad Slaa kesho Jumamosi atazindua kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga, wilayani Iringa katika kijiji cha Kalenga. Kwa upande wao Chama cha Mapinduzi (CCM) kitanzaa kampeni zake keshokutwa Jumapili katika kijiji cha Mseke wakati kikiendelea na maandalizi ya uzinduzi rasmi wa kampeni hizo. Uchaguzi huo unakishirikisha chama kingine cha Chausta kilichomsimamisha Richard Minja kupeperusa bendera yake. CCM kwa upande...
STENDI MPYA IGUMBILO HATIHATI KUJENGWA IGUMBILO, WAZIRI APIGA STOP HARAKATI ZA UJENZI WAKE Dk Mahenge akiwa na viongozi wa mkoa na Manispaa ya Iringa katika eneo linalolalamikiwa na wadau wa maji, lisijengwe stendi hiyo Wakiangali Mto Ruaha Mdogo Pana ka umbali Eeneo lenyewe ndio hilo Mto Ruaha Mdogo Habari kamili kuhusiana na taarifa hii itakujia kesho; Utasoma kauli ya waziri, mkuu wa mkoa, katibu tawala wa mkoa, mstahiki meya, naibu meya, mkurugenzi wa NEMC na Bonde la Rufij...

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE UFAULU UMEPANDA HADI KUFIKIA ASILIMIA 58.25

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE UFAULU UMEPANDA HADI KUFIKIA ASILIMIA 58.25
Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 ...
DOKII,NYAMIDELA,MASCO NA EZENICE KUPAMBA KAMPENI ZA UCHAGUZI KALENGA NA DIANA BISANGAO WA MATUKIO DAIMA.COM, IRINGA Aliyekuwa msanii maarufu wa maigizo ya kibongo, Ummy Wenslaus ‘Dokii’ ambaye kwa sasa anajishughulisha na sanaa ya muziki hasa katika mambo ya siasa ameahidi kuwepo mkoani Iringa katika kipindi cha kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge Dokii aliyasema hayo juzi wakati aliposhiriki uzinduzi wa Mwaka wa Kilimo wa Afrika katika kijiji cha Kaning’ombe  kilichopo jimbo la Kalenga wilaya ya Iringa vijijini msaani huyo alisema atashiriki kampeni za uchaguzi mdogo...
JESHI LA POLISI MKOANI IRINGA LAWASHIKILIA WATU SABA. JESHI la polisi mkoani Iringa linawashikilia watu saba kwa makosa tofauti tofauti likiwemo la mkazi wa Makongati Tarafa ya Mololo aitwaye Mario Kibodya (30) kumbaka mwanafunzi wa darasa la pili jina limehifadhiwa (8) na kumsababishia maumivu makali sehemu za siri.   Akizungumza na mtandao huu wa www.matukiodaima.com ofisini kwake Kaimu kamanda wa polisi Mrakibu mwandamizi Peter Kakamba alithibitisha kutokea kwa tukio hilo lililotokea mnamo tarehe 20 februari majira ya saa 9 kamili mchana.   Wakati huohuo mkulima aliyefahamika...
CHADEMA YAHITIMISHA KURA ZA MAONI UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA, MWANASHERIA MWENDA AIBUKA KIDEDEA Sinkala Mwenda akiwa amenyanyuliwa juu baada ya ushindi wa kura za maoni juzi MGOMBEA Sinkala Mwenda ameibuka kidedea wa kura za maoni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika mchakato wa kumpata mgombea atakayepeperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Kalenga. Kura hizo za maoni zilizofanyika juzi katika ukumbi wa St Dominic, mjini hapa zilishirikisha wagombea 13. Jimbo la Kalenga liko wazi baada ya aliyekuwa mbunge wake, Dk William Mgimwa...
KESI YA DAUDI MWANGOSI YAANZA KUSIKILIZWA, MWANAHABARI AKAMATWA NA KUBAMBIKIZIWA KESI Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Iringa, Frank Leonard ( wa nne kushoto mwenye begi ndogo begani) akiwa nje ya mahakama kuu kanda ya Iringa na wanahabari wengine mara baada ya kesi ya mtuhumiwa wa mauaji ya Daudi Mwangnosi kusikilizwa KESI ya mauaji ya aliyekuwa Mwandishi wa Habari wa Channel Ten Mkoani Iringa, Daudi Mwangosi imeanza kusikilizwa hii leo baada ya kilichoelezwa na upande wa mashtaka kwamba uchunguzi wake umakamilika. Kama ilivyo ada, makechero wa Polisi wengi...
BREAKING NEWSSssssss CCM WASHINDA KWA KISHINDO KATA ZOTE TATU MKOA WA IRINGA , NJOMBE CHADEMA WAIGALAGAZA CCM ......................................................... CHAMA  cha  mapinduzi (CCM)  mkoa  wa  Iringa  kimefanikiwa  kutetea kata  zake  zote tatu ambazo  leo   wananchi  wameshiriki  kupiga kura  kuwachagua madiwani  kufuatia nafasi hiyo kuwa wazi baada ya madiwani wake kufariki  dunia  huku chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema) kikishindwa  vibaya katika  uchaguzi huo. Mbunge ...
NYOTA YA JACKSON KISWAGA YANG'ARA KALENGA ,WANA KALENGA WAWAOMBA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU KUTOWACHAGULIA WINGINE ZAIDI YA KISWAGA Wazee wa kabila la Kihehe, kata ya Kalenga mkoani Iringa wakimpa heshima ya kichifu  alipokuwa Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Kanda ya Kusini Jackson Kiswaga ambae  leo anapigiwa  kura  za maoni  za  kusimamakugombea  ubunge  kupitia  CCM jimbo la Kalenga Bw Kiswaga  akiwashukuru  wana kalenga kwa maombi  na imani  yao kwake . Wakati  leo  wajumbe wa Halmashauri ...
CCM NJOMBE NA IRINGA WALAANIA VURUGU ZA CHADEMA WATAKA WANANCHI WACHAGUE CCM, FILIKUNJOMBE AWAFUNDA NJOMBE , JESHI LA POISI LAONYA WATAKAOFANYA VURUGU KESHO KUKIONA Kaimu katibu wa CCM mkoa wa Iringa Hassan Mtenga akiwa katika mkutano wa kampeni kata ya Nduli Iringa   ..................................................................................................... WAKATI  wananchi  wa kata ya  Nduli jimbo la Iringa mjini na  wale  wa kata ya Njombe mjini  jimbo la Njombe  kusini  kesho wanashiriki katika zoezi la upigaji ...
                                        LISU AKIWA NA MKEWE Mungu amembariki kwa watoto mapacha watatu Wawili wakiwa Wa Kiume na Mmoja wa Kike, Mama na Watoto Wanaendelea vema. BAADA YA MWIMBAJI MATHA MWAIPAJA KUPATA MTOTO WA KIUME SASA NI ZAMU YA MWIMBAJIA ANAYESIFIKA SANA KWA KUIMBA LIVE JOHN LISU AMBAYE WIKI HILI MUNGU AMEMJALIA KUPATA MAPACHA WA TATU NA MKEWE NELLY KAISI L...

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog