Magazeti ya Tanzania leo May 31 2015 na stori zake kubwakubwa za michezo hardnews na dini. ...
   HII YA KUNYOFOLEWA PUA UMEIPATA MSOMAJI WANGU , CHEKI HAPA MAUAJI YA KINYAMA BUKOBA, WAWILI WAUAWA NA KUNYOFOLEWA PUA. Kijana Joseph Gabriel anayefanya vibarua mbalimbali vya kujiingizia kipato amekutwa amekufa baada ya kukatwa na kitu chenye ncha kali na huku sehemu ya pua ikiwa imeondolewa sambamba na sehemu ya shavu lake la kushoto. Mwili wa Joseph Gabriel ukiwa barabarani kusubiri jeshi la polisi waje kuuondoa Mauaji haya ya kutisha yametokea katika maeneo ya kata Karabagaine katika kijiji cha Kitwe.Polisi pia walichelewa kufika eneo la tukio kutokana na...
HII KALI..!! BINTI AMUUA MAMA YAKE MZAZI BAADA YA KUMLAZIMISHA KUFUA NGUO CHAFU Si jambo la kawaida kusikia mtoto kamuua mama yake ama mama kamuua mtoto wake, japo kwa miaka ya sasa matukio kama hayo yameshamiri kwa kiasi kikubwa sehemu mbalimbali duniani. Tukio la mtoto kumuua mama yake leo limechukua headlines huko Zimbabwe baada ya kutokea kutoelewana baina yao. Kilichotokea ni kwamba binti wa miaka 17 amemuua mama yake kwa kumchoma moto baada kulazimishwa kufua nguo chafu, kitendo kilichomkasirisha na kufikia uamuzi huo. Kabla ya kumuua mama yake kwa kumwagia...
Sentensi 18 za Mbunge Edward Lowassa wakati anatangaza kugombea Urais leo May 30 2015 Arusha May 30 2015 inakuwa siku ambayo inaingia kwenye Historia kubwa kwenye ishu za siasa Tanzania.. Bado miezi michache ufanyike Uchaguzi Mkuu, mmoja ya watu ambao walitajwa sana na kuwa kwenye headlines kubwa kwenye vyombo  vya habari ni Mbunge wa Monduli, Edward Ngoyai Lowassa. Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid katikati ya Jiji la Arusha umeshuhudia kwa mara nyingine kujaa kwa watu ambao walikuja kwa ajili ya kushuhudia Mbunge huyo akitangaza nia rasmi kabisa kwamba atagombea...

BIBI HARUSI AGOMA KUOLEWA SIKU MOJA KABLA YA HARUSI, BWANA MACHOZI TUPU.. PILAU LADODA

BIBI HARUSI AGOMA KUOLEWA SIKU MOJA KABLA YA HARUSI, BWANA MACHOZI TUPU.. PILAU LADODA
KIMENUKA! Ikiwa ni siku moja tu kabla ya kufungwa kwa ndoa kati ya Zuhura Omari na Abdallah Salehe, katika hali isiyotarajiwa, mke mtarajiwa amekataa kushiriki tendo hilo la kheri licha ya taratibu zote kukamilika na kusababisha tafrani kubwa huko Buguruni Kwa Mnyamani jijini Dar mwishoni mwa wiki iliyopita. Ndugu wakiwa hawana la kufanya baada ya binti huyo kugoma kuolewa. Tukio hilo lilitokea Mei 23, mwaka huu wakati ndugu wa mume walipokusanyika nyumbani kwa Abdallah tayari kwa shughuli, lakini wakalazimika kuondoka baada ya kuelezwa kuwa mwanamke amekataa kuolewa, ikidaiwa...
Hotuba Ya Mh. Edward Lowassa Aliyoitoa LEO jijini Arusha Wakati Akitangaza Nia Ya Kuomba Kuteuliwa na CCM Kuwa Mgombea Urais Wa Tanzania UTANGULIZI: Ndugu zangu wana-CCM na Watanzania wenzangu, Hii ni siku muhimu kwangu na kwa nchi yetu. Leo nimeamua kuwaita ili kuwatangazia rasmi Watanzania wenzangu azma yangu ya kutaka kuomba ridhaa ya chama chetu, Chama Cha Mapinduzi (CCM), niweze kuteuliwa kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nasema hii ni siku muhimu kwangu kwa sababu naamini historia yangu itainakili kama ni siku...

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog