Home » »


                   HOT NEWSSSSSSSSSSS
MSIKILIZE  MUNGU YA EMMANUEL MGOGO VIDEO KUINGIA MTAANI SASA [SAYUNI BAND]
 mwimbaji wa nyimbo za injili wa nyanda za juu kusini mwa tanzania emmanuel mgogo ambaye amewahi kutamba na albamu ya iko wapi njia ile sasa amekamilisha albamu yake mpya inayokwenda kwa jina msikilize mungu ikiwa na nyimbo kama vile  msikilize mungu,  itakuwaje inatarajia kuingia mtaani kuanzia kesho tare 8 mwezi may 2014 akizungumza na mmiliki wa mtandao huu emanuel mgogo amesema anatarajia kazi hiyo kusambaa kwa kasi nchi nzima
hata hivyo alipoulizwa juu ya kuzindua albamu hiyo amesema anatarajia kuzindua katika mikoa ya nyanda za juu kusini pamoja na mkoa wa dare.salam.


                    emanueli mgogo akiwa katika moja ya huduma akimsimu mungu
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog