HEBU LEO TAFAKARI   TOFAUTI YA KIONGOZI NA MTAWALA Mchungaji Peter Mitimingi, mkurugenzi wa The Voice of Hope Ministries (VHM) KIONGOZI 1. Ni mtu wa Watu• Kiongozi kipaumbele chake ni watu• Anakuna kichwa afanye nini ili watu wake waweze kuishi kwa amani na furaha.• Kupenda kuwasikiliza watu wanasema nini, wanalia juu ya nini, wanacheka juu ya nini nk.2. Hugusa Moyo wa Mtu• Mkono wa kiongozi hugusa moyo wa wafuasi.• Ushawishi wake kiongozi huwa sio wa akilini au kichwani bali hupenya hadi ndani ya moyo wa mtu.• Anauhakika wa kuwa na watu nyuma yake kumfuata popote atakapo kwenda3....
WAPENDA MIUJIZA, HIKI NDICHO KINACHOWAPATA Mtume Lesego Daniel. Leo bado tupo nchini Afrika ya kusini, kuhusiana na huduma ya mtume Lesego Daniel iitwayo Rabboni Centre ministries ambayo inaendelea kujizolea waumini kila kukicha licha ya aina ya ufunuo unaotumiwa na muasisi wa huduma hiyo mtume Lesego kuleta ualakini kama kweli umetoka kwa Mungu, hasa kitendo cha kuwataka waumini wake kula manyasi na majani ya miti lakini pia mda mwingine kuwafanyia maombi akiwa amewakanyaga. GK imeamua kuandika tena hii leo kuhusiana na huduma hii, mara baada ya kuona video fupi iliyorekodiwa...
ISRAEL HOUGHTON KUIMBA NCHINI UGANDA MWEZI UJAO, HAKUNA KIINGILIO Watoto Children Choir namba 66 wakiimba kanisani kwao kabla ya kuelekea nchini Australia kwa ziara wiki mbili zilizopita. Nyota wa muziki wa injili duniani Israel Houghton kutoka nchini Marekani anatarajiwa kuwa mwimbaji mwalikwa katika sherehe za kutimiza miaka 30 ya huduma ya kanisa la Watoto Uganda pamoja na miaka 20 ya huduma ya wanawake na watoto kupitia Watoto child care ministries zote zikiwa chini ya kanisa la Watoto ambalo umaarufu wake umetokana na kwaya ya Watoto children chini ya waanzilishi wa huduma hiyo...
PSPF YAIPIGA JEKI SERIKALI YATOA MSAADA WA MADAWATI 100 KWA SHULE ZA MSINGI Afisa Mfawidhi  Mfuko wa Pensheni kwa watumishi (PSPF)Mkoa wa Iringa, Baraka Jumanne akizungumza na waalimu wa Shule za Msingi tatu Mufindi Kaskazini(hawapo pichani)  kabla ya kukabidhi madawati 100 yaliyotolewa na mfuko huo. Afisa Mfawidhi PSPF Iringa,Bakari Jumanne akimkabidhi Mkuu wa Wilaya Mufindi Evarista Kalalu Madawati miamoja kwa ajili ya Shule za Msingi Mjimwema, Mamba na Nyamalala yenye thamani ya sh. milioni 5 katika hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya wilaya Mufindi.  Baadhi ...
Wateja wa Airtel kununua Tiketi za Ndege za Precicsion Air kupitia huduma ya Airtel Money Meneja Uendeshaji wa pitiaAirtel Money Asupya  Naligingwa (kushoto) akiongea wakati wa uzinduzii wa ushirikiano kati ya Airtel na Precision Airt utakaowawezesha wateja wa Airtel kulipia tiketi za ndege kupitita huduma ya Airtel Money. akishuhudia ni Afisa uhusiano wa Airtel bi Jane Matinde na na Afisa masoko wa Precision Air Hillary Mremi   Meneja Uendeshaji wa pitiaAirtel Money Asupya  Naligingwa (kushoto)  na Afisa masoko wa Precision...
                   HOT NEWSSSSSSSSSSS MSIKILIZE  MUNGU YA EMMANUEL MGOGO VIDEO KUINGIA MTAANI SASA [SAYUNI BAND]  mwimbaji wa nyimbo za injili wa nyanda za juu kusini mwa tanzania emmanuel mgogo ambaye amewahi kutamba na albamu ya iko wapi njia ile sasa amekamilisha albamu yake mpya inayokwenda kwa jina msikilize mungu ikiwa na nyimbo kama vile  msikilize mungu,  itakuwaje inatarajia kuingia mtaani kuanzia kesho tare 8 mwezi may 2014 akizungumza na mmiliki wa mtandao huu emanuel mgogo...
PICHA KAMILI ZA TAMASHA LA PASAKA KUTOKA MWANZA, MALOPE AMALIZA Malkia wa nyimbo za injili barani Afrika, Rebecca Malope. Kwa wale ambao hawakufanikiwa kufika kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kwenye hitimisho la Pasaka, basi fursa ipo kupitia hapa kuona namna matukio yote yalivyokuwa, ambapo muimbaji mkongwe wa nyimbo za injili kutoka Afrika Kusini - tena malkia wa nyimbo za injili barani Afrika, Rebecca Malope alifanikiwa kugusa mioyo ya watu, si tu kwa uimbaji, bali hata kupitia kwa kuwatia moyo kwamba Mungu anasikia pale umuombapo. Sehemu ya watu waliokuwa wakiingia...

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog