CHRISTINA SHUSHO ATUMIA MILLIONI 4 KUTENGENEZA VIDEO MOJA, IANGALIE HAPA NA MSIKILIZE AKIELEZA SABABU ZA KUTUMIA GHARAMA HIYO . Blogger Ambwene Michael na Christina Shusho. Kilio changu kila siku waimbaji wa muziki wa injili wabadili uelekeo wao hasa katika kutengeneza video zenye ubora mzuri.Leo nikipiga story na Christina Shusho kupitia Chomoza ya Clouds Tv amefunguka na kueleza wazi gharama ya utengenezaji wa video yake "Nataka nimjue" ametumia milioni 4 hadi kukamilika.Video hii imetengenezwa na kampuni kubwa nchini Kenya (Link Video Global) chini ya director wa mkubwa J Blessing.Msikilize...
MASANJA MKANDAMIZAJI YUKO MAREKANI KUHUBIRI Masanja alipokuwa jijini New York alipokwenda kwa mara ya kwanza. Mungu ameendelea kufungua milango kwa mchekeshaji wa kundi la Original Comedy ambaye pia anafanya kazi za kumuhubiri Mungu kijana Emmanuel Mgaya au mwite kwa jina lake la kazi Masanja Mkandamizaji ambaye kwasasa yupo nchini Marekani kwa huduma ya kimungu ambako amealikwa kwa kazi hiyo ikiwa pamoja na kuzungumza na vijana katika miji mitatu ya California, Minnesota pamoja na Dallas. Masanja amemshukuru Mungu kwa nafasi anayoipata hasa ikizingatiwa kwamba hii ni mara yake...
VIONGOZI WA KIDINI KENYA KUONGOZA MAOMBI YA KITAIFA JUMANNE Rais Uhuru Kenyatta na mkewe wakiweka shada la maua katika kaburi la mpwa wao marehemu Mbugua Mwangi na mchumba wake Rosemary Wahito ambao waliuawa katika tukio hilo la kigaidi. Picha na Daily Nation Kenya. Viongozi wa kidini nchini Kenya wanatarajia kufanya maombi kwa taifa lao siku ya jumanne ijayo katika viwanja vya KICC kuanzia majira ya saa nne asubuhi. Akitoa tangazo hilo katibu mkuu wa taasisi ya jumuiya ya Kikristo nchini humo National Christian Council of Kenya (NCCK) bwana Peter Laranja amewataka watu kutoka...
KONGAMANO LA UVUVIO AFRIKA 2013 Tarehe 31 inajongea, na ndio mwisho wa kulipia gharama za kadhaa za kukuwezesha ushiriki nchini Afrika Kusini, ambapo kwa mwaka huu uvuvio huu wa siku sita utafanyika huko ukishirikisha viongozi mbalimbali kutoka makanisa mbalimbali barani Afrika. GK imekufikishia taarifa, kazi ni kwako....
MAKALA: CECILE KYENGE, TOKA CHINI KWENDA JUU, KUTOKATA TAMAA KWAMTOA Dakta Cecile Kyenge katika mojawapo ya mikutano. ©Reuters Nilipokuwa mtoto, na nikakosea kisha mama aniseme, nilitamani anipige tu mambo yaishe – unajua ni namna gani maneno yanachoma. Ndio maana hata kuna utani kwamba mzaramo anaweza kukusema hadi ukafa. Haya yote ndio yananirejesha kwa Cecile Kyenge, mwanamama wa kwanza kuwa waziri mweusi nchini Italia. Kila nikimtazama mama huyu mzawa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Napata ahueni – ahueni kwamba hata kama watu wakikupiga kwa maneno, bado ...
MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI STELA JOEL SIKU YA JUMAMOSI ALIFUNGA HARUSI NA YERIMO PICHA ZIMEPIGWA NA RUMAFRICA +255 715851523 Mungu ni mwema na ni Mungu wa vitendo. Baada ya maombezi makali ya kila mtu kumtafuta yule ampendae, Mungu aliweza kujibu kilio cha Stella Joel na mpenzi wake Yerimo kwa kufanikisha ndoa yao iliyofungwa katika kanisa la Pentecostal Holiness Mission Light House Christian Center Ubungo na tafrija kufanyika katika ukumbi wa Mawasiliano Ubungo jijini Dar esa Salaam siku ya jumamosi UNAWEZA KUWASILIANA NA STELLA JOEL KWA SIMU HII  +255 756 846166 AU +255715...
MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI NA MWANACHA WA CHAMUITA STELA JOEL LEO ANATARAJIA KUACHA UBACHALA BAADA YA MUNGU KUMPA CHAGUO LAKE . Mwimbaji wstela joel kwenye picha ya kava la albamu yake aliyowashirikisha waimbaji mbalimbali akiwemo rose mhand...

BAHATI BUKUKU AZINDUA KWA KISHINDO, MILIONI 20 ZATOLEWA NA LOWASSA

BAHATI BUKUKU AZINDUA KWA KISHINDO, MILIONI 20 ZATOLEWA NA LOWASSA
"Mtu yeyote anayeiombea amani anaipenda nchi hii. Leo natoa changamoto waimbaji wa nyimbo za injili wahubiri sana amani." Ni kauli ya Waziri Mkuu aliyepita, ambaye pia ni mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, ambaye alikuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa DVD ya album ya Dunia Haina Huruma, ya kwake Bahati Bukuku, ambayo imehudhuriwa na maelfu ya wakazi wa jijini Dar es Salaam, kwenye ukumbi wa PTA, viwanja vya Sabasaba Jumapili hii. Gospel Kitaa ilikuwepo kna kushuhudia ambapo, pamoja na kuwataka waimbaji wa nyimbo za injili wahubiri amani, Mh. Lowassa pamoja na marafiki...
MAKUMI ELFU WAJITOKEZA KUIOMBEA SYRIA AMANI Sehemu ya umati wa watu waliojitokeza kwenye maombi ya kufunga ya masaa manne kwa ajili ya taifa la Syria. ©AP Makumi elfu ya watu walijitokeza siku ya Jumamosi katika kuitikia wito wa Papa Francis, ili kuombea amani taifa la Syria, ambalo limekuwA katika vita ya wenyewe kwa wenyewe, ambapo na kwa sasa Marekani wanataka kushambulia taifa hilo kutokana na kusadikika kutumia silaha za sumu huko Damascus mnamo Agosti 21. Papa Francis alitumia wasaha huo kuomba kimya kimya, ambapo wananchi waliojitokeza kwenye uwanja wa Mtakatifu Petro...

DEREVA BODABODA IRINGA ATEKWA NA KUUAWA NA WATU WASIOJULIKANA

DEREVA BODABODA IRINGA ATEKWA NA KUUAWA NA WATU WASIOJULIKANA
Normal 0 false false false MicrosoftInternetExplorer4 /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-parent:""; mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; mso-para-margin:0in; mso-para-margin-bottom:.0001pt; mso-pagination:widow-orphan; font-size:10.0pt; font-family:"Times New Roman"; mso-ansi-language:#0400; mso-fareast-language:#0400; mso-bidi-language:#0400;}               IRINGA Zikiwa ...

DUNIA HAINA HURUMA YA BAHATI BUKUKU VIDEO KUZINDULIWA JPILI DAR KUSAMBAZWA KUANZIA JTATU NCHINI KOTE USIKOSE KUPATA NAKALA YAKO SASA

DUNIA HAINA HURUMA YA BAHATI BUKUKU VIDEO KUZINDULIWA JPILI DAR KUSAMBAZWA KUANZIA JTATU NCHINI KOTE USIKOSE KUPATA NAKALA YAKO SASA
Mwimbaji wa nyimbo za injili Bahati bukuku akiwa katika huduma ya kumwimbia mungu m ...
HATIMAYE MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI KUTOKA KENYA EMMY KOSGEI AFUNGA NDOA NA MCHUNGAJI WA NIGERIA, ANGALIA PICHA ZOTE Emmy na mumewe mwenye tai ya zambarau mchungaji Anselm Madubuko mara baada ya ndoa yao. Hatimaye ile ndoa iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na wakazi wa nchini na Kenya na Nigeria pamoja na wapenzi wa mwanamuziki nyota wa gospel nchini Kenya imefanyika jana jijini Nairobi kwaku shuhudia mwanadada Emmy Kosgei akisema ndiyo kwa mchungaji Anselm Madubuko wa Nigeria katika viwanja vya bustani ya windsor Garden. Awali kabla ya ndoa hiyo kumekuwepo maneno mengi kwanini mwimbaji...
HATIMAYE KWAYA YA TANGAZENI KUTOKA DODOMA WAZINDUA ALBAMU YAO mgeni rasmi akisema neno kabla ya kuzindua albamu MASANJA MKANDAMIZAJI PAMOJA  SOLOMONI MKUBWA PICHANI AMBAO WALIWAVUTIA MAELFU YA WATU KUFIKA UWANJANI HAPO WANAKWAYA PAMOJA NA WAGENI WAALIKWA WALIOFIKA KUWATIA MOYO KWA KUWACHANGIA MGENI RASMI AKIONESHA CD AMBAYO ILIZINDULIWA JAN...

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog