Home » »

Baada Ya All Kigoma Stars Bongo Fleva Sasa ni All Kigoma Gospel Concert

Baada ya Wiki Chache zilizopita Kukusanyika wanamuziki wa Bongo Fleva na Kuandaa Tamasha Kubwa la Bongo Fleva Linalowajumuisha wanamuziki Wa muziki huo wanaotoka Mkoa wa Kigoma na liliandaliwa na Mhe. Mbunge wa Kaskazini Zitto Kabwe. Wanamuziki wa Injili Wenye asili Ya Mkoa huo Wa Kigoma Nao Wameandaa tamasha Kubwa la Muziki wa Injili Litakalofanyika  Katika Mkoa Huo.


Mkoa Huo Uliobarikiwa Kuwa na Wanamuziki Maarufu wa Injili wanaovuma Ndani na Nje ya Tanzania, baadhi ya wanamuziki Hao ni Christina Shusho, Amon Kilahiro, UpendoNkone, Victor Aron, John Shaban na Wengine Kadha Wa Kadha.

Tamasha hilo lililopewa Jina la Haleluya Msifuni Bwana Linatarajiwa kufanyika tarehe 19 Mwezi huu wa Nane katika Viwanja Vya Lake Tanganyika.
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog