![]() |
| Wa kwanza kushoto ni mama maona moja kati ya akinamama wanaoipendezesha kwaya hiyo kwa kucheza jana pia alivunja record ya kucheza. |
![]() |
| bishop mkane pamoja na mkewe wakiendelea kufuatilia tamasha kwa umakini zaidi |
![]() |
| RISALA KWA MGENI RASMI IKISOMWA NA KATIBU WA KWAYA DENIS KISITU |
![]() |
| UMATI WA WATU ULIOFURIKA KATIKA UZINDUZI HUO |
![]() |
| MGENI RASMI MWENYEKITI WA CCM MKOA BI JESCA MSAVATAVANGU AKIZUNGUMZA WAKATI WA UZINDUZI HUO. |
![]() |
| Askofu wa jimbo la Iringa wa Jonas Mkane akimshukuru mgeni rasmi |
![]() |
| Makamu askofu mchungaji Edward Matipa akiomba wakati wa kuairisha uzinduzi huo |











0 comments:
Post a Comment