KWAYA YA FAITH IS ACTION T.A.G MLANDEGE IRINGA WAZINDUA ALBAMU YA DALADALA KWA KISHINDO HUKU MGENI RASMI AKITOA ZAIDI YA MILLION TANO. Wa kwanza kushoto ni mama maona moja kati ya akinamama wanaoipendezesha kwaya hiyo kwa kucheza jana pia alivunja record ya kucheza. bishop mkane pamoja na mkewe wakiendelea kufuatilia tamasha kwa umakini zaidi RISALA KWA MGENI RASMI IKISOMWA NA KATIBU WA KWAYA DENIS KISITU UMATI WA WATU ULIOFURIKA KATIKA UZINDUZI HUO MGENI RASMI MWENYEKITI WA CCM MKOA BI JESCA MSAVATAVANGU AKIZUNGUMZA WAKATI WA UZINDUZI HUO. Askofu wa jimbo...
                       KILA MTANZANIA ANADAIWA  600,000 SASA   Wakati Serikali ikibanwa na wabunge kwa kushindwa kutekeleza Bajeti ya mwaka 2013/14 kutokana na kutegemea fedha za wahisani, Kamati ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara imesema deni la taifa limeongezeka kwa Sh8.2 trilioni kwa kipindi cha miezi saba tu. Ilisema jana kuwa hadi Juni, mwaka jana deni hilo lilikuwa Sh21.2 trilioni lakini hadi Januari mwaka huu, deni hilo lilipaa hadi Sh29.4 trilioni...
MAHAKIMU WA MAHAKAMA ZA MWANZO MUFINDI WAPEWA PIKIPIKI Jaji Mary Shanghai akikata utepe wakati akikabidhi pikipiki hizo Pikipiki zilizotolewa kwa mahakimu wa mahakama hizo JAJI Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Iringa, Mary Shanghai amekabidhi pikipiki nne kwa mahakimu wa mahakama za mwanzo za Ifwagi na Kibao, Malangali, Kasanga na Mgololo, zote za wilaya ya Mufindi. Kutolewa kwa pikipiki hizo, kumeelezwa na mahakimu wa mahakama hizo kwamba kutarahisisha utendaji kazi wao na kuongeza ufanisi katika idara hiyo muhimu ya utoaji haki. Jaji Shanghai alikabidhi pikipiki hizo...
MCHUNGAJI MWASUMBI AACHILIWA HURU BAADA YA HUKUMU YA MIAKA 30 JELA KWA TUHUMA ZA UBAKAJI, MAGEREZA WALIA KUMKOSA MHUBIRI WAO Mchungaji Mwasumbi akiwa mahakamani mwaka jana. Hatimaye Mchungaji Daniel Mwasumbi ambaye mwaka jana alihukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Mbeya kifungo cha miaka thelathini (30) jela Julai mwaka 2013 kwa tuhuma za ubakaji hapo jana tarehe 3 Juni ameachiwa huru na Mahakama kuu kanda ya Mbeya  huku akiwa anatetewa na wakili wa kujitegemea Benjamini Mwakagamba mbele ya jaji Atuganile Ngwala, huku upande wa serikali ukiwakilishwa na Prosista Paul. Kwa...
HAKIKA MUNGU NI MWAMINIFU NA AHADI ZAKE NI ZA MILELE MWANAMKE SUDAN ALIYEHUKUMIWA KIFO, KUACHILIWA HURU Afisa mmoja mwandamizi katika wizara ya maswala ya kigeni nchini Sudan amesema kuwa mwanamke aliyepewa hukumu ya kifo kwa kubadili dini yake ya kiislamu,Meriam Ibrahim atawachiliwa huru katika kipindi cha siku chache zijazo. Abdullahi Alzareg ambaye ni katibu katika wizara hiyo amesema kuwa Sudan inatilia maanani uhuru wa kuabudu na kwamba serikali itamtetea mwananmke huyo. Kumekuwa na shutma za kimataifa kuhusu hukumu aliyopewa mwanamke huyo. Meriam Ibrahim anazuiliwa katika...
  SOLOMONI MKUBWA AING'ARISHA TANZANIA KWENYE TUZO ZA GROOVE NCHINI KENYA BAADA YA MWAKA JANA KUCHUKULIWA NA CHRISTINA SHUSHO. Siku ya jumapili kulifanyika utolewaji wa tuzo maarufu za injili nchini Kenya ziitwazo Groove Awards, katika tuzo hizo ambazo zilikuwa zikifanyika kwa mara ya tisa. Safari hii tuzo iliyokuwa ilishikiliwa na mwanamama Christina Shusho mwaka jana ya mwimbaji bora Afrika mashariki na kati safari hii imechukuliwa na mwanakaka Solomon Mukubwa ambaye ametambulishwa kuwa anatokea nchini Tanzania, huku kwa upande wa Afrika ya magharibi mwanakaka aliyetamba...

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog