Dk Emmanuel Nchimbi  Na Daniel Mjema na Sharon Sauwa MwananchiPosted  Decemba21  2013  saa 8:59 AM Kwa ufupi Serikali kuunda Tume ya Uchunguzi ya Kimahakama kuchunguza  waliohusika na unyama wakati wa operesheni Dar es Salaam / Dodoma. Ripoti ya Kamati ya Maliasili, Ardhi na Mazingira iliyowasilishwa jana asubuhi bungeni mjini Dodoma, imewang’oa madarakani mawaziri wanne ambao wizara zao zilishindwa kusimamia vizuri utekelezaji wa Operesheni Tokomeza Ujangili. Kung’oka kwa mawaziri hao kulitangazwa...
BREEEEKING....!! MAJAMBAZI WATATU WAUAWA NA POLISI KWA RISASI WILAYANI KAHAMA....!! Mmoja wa Majambazi hao walioko katika hospitali ya wilaya ya Kahama Jeshi la polisi wilayani Kahama Mkoani Shinyanga limefanikiwa kuwaua watu  watatu  wanaodhaniwa kuwa ni Majambazi ambao majina yao hayajafahamika waliokuwa wakipanga kuvamia mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu uliopo wilayani Kahama usiku wa kuamkia leo. Miili ya Majamzazi hao watatu waliwa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali ya wilaya ya Kahama Kamanda wa polisi Mkoani humo Evarist Mangala amesema tukio hilo limetokea...
KIKOSI kizima cha Simba SC kinarejea leo Dar es Salaam kwa ndege kutoka Zanzibar walipokuwa wameweka kambi wiki yote hii kujiandaa na mchezo wa Nani Mtani Jembe kesho dhidi ya Yanga, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam, Simba watakwenda kambini katika hoteli ya Spice, Kariakoo, Dar es Salaam tayari kwa mchezo wa kesho. Wanarejea leo; Simba SC wanatua kwa ndege leo kutoka kambini Zanzibar Taarifa zinasema hakuna majeruhi na wachezaji wote wana ari kubwa kuelekea mchezo wa kesho, unaoandaliwa na wadhamini...
Watu kadhaa wamehofiwa kufariki kufuatia mlipuko uliotokea ndani ya gari moja dogo la abiria katika mtaa wa Pangani mjini Nairobi. Duru zinaarifu kuwa karibu watu 4 huenda wamefriki katika shambulizi hilo na wengine kadhaa kujeruhiwa. Taarifa zinazohusiana Kenya Shirika la msalaba mwekundu limesema kuwa watu 15 waliojeruhiwa walipelekwa hospitalini. Hata hivyo polisi hawajatangaza idadi rasmi ya watu waliojeruhiwa wala wale waliofariki. Mlipuko huo umesemekana kutokea...
                 SAFARI YA MWISHO YA MANDELA  NI LEO Mwili wa hayati Nelson Mandela umepelekwa katika mkoa wa Eastern Cape kwa safari ya mwisho kabla ya kuzikwa siku ya Jumapili kijijini Qunu. Idadi kubwa ya watu walifurika barabara angalau kumtupia jicho shujaa wao na kutoa heshima zao za mwisho. Mandela aliyefariki tarehe tano Disemba atafanyiwa maziko ya kitaifa siku ya Jumapili, Takriban watu 100,000 walitoa heshima zao za mwisho kwa Mandela mjini...
JAMBO LA KUFANYA USIKU WA KUAMKIA UHURU Kuliko kujikunja ndani ya mashuka yako kutokana na mvua, ni vema ukajongea kwenye ukumbi wa huduma ya maombezi na ushauri, BCIC, ambapo kuna mkesha wa kusifu na kuabudu. Ni sehemu pekee ya kuondoa baridi la mwilini huku ukimpa nafasi Mungu kutenda mema anayokuwazia. Sote tukutane huk...
Mandela:Siku ya maombi Afrika Kusini   Watu wa umri wote wanamkumbuka Mandela Wananchi wa Afrika Kusini wanashirki maombi ya kitaifa ya mwendazake Nelson Mandela. Siku hii ya maombi imesemekana kua siku ya kumkumbuka Mandela na maisha yake. Rais Jacob Zuma atahudhuria maombi hayo katika kanisa la Methodist mjini Johannesburg, wakishirikiana na viongozi wengine kutoka dini mbali mbali kwa maombi yatakayofanyika siku nzima leo. Maombi...
WAZIRI MKUU AZINDUA JIMBO KUU LA KUSINI, AHIMIZA AMANI by John Bukuku on December 8, 2013 in JAMII with No comments WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amewataka Watanzania waendelee kuombea amani ya Taifa zima bila kujali tofauti zao za dini na kusisitiza kwamba kila mmoja ana wajibu wa kutunza amani iliyopo. Ametoa wito huo jana jioni (Jumamosi, Desemba 7, 2013) wakati akizindua Jimbo Kuu la Kusini mwa Tanzania (Southern Tanzania Union Mission) la Kanisa la Waadventista Wasabato kwenye sherehe zilizofanyika kwenye Viwanja vya Mwalimu J. K. Nyerere, barabara ya Kilwa...
BALE APIGA HAT-TRICK REAL IKIUA 4-0 NA KUISOGELEA BARCA MGONGONI KABISA LA LIGA Home » Unlabelled » BALE APIGA HAT-TRICK REAL IKIUA 4-0 NA KUISOGELEA BARCA MGONGONI KABISA LA LIGA WINGA Gareth Bale jana amefunga mabao matatu peke yake yaani hat-trick wakati Real Madrid ikiitandika Valladolid 4-0 Uwanja wa Bernabeu, Madrid na kuisogelea Barcelona kileleni mwa La Liga ikibaki inazidiwa pointi tatu. Mchezaji huyo ghali wa dunia ameendelea kutekeleza vyema majukumu ya Cristiano Ronaldo ambaye ni majeruhi kwa sasa akiwa ametimiza mabao tisa katika mechi 13.Bale aliyefunga mabao hayo katika...
CHAGUO LA GK VIDEO MPYA KUTOKA UINJILISTI SAYUNI Ni Jumapili nyingine tena kupitia kipengele cha chaguo la GK, hii leo tuno kwaya ya Uinjilisti Sayuni kutoka usharika wa Kilutheri Kindondoni, wakiwa wanajiandaa kuachia toleo la tatu la video wametanguliza wimbo wa kuanzia uitwao "Dua na Maombezi" ambao unahimiza wacha Mungu kumlilia Mungu juu ya Taifa letu la Tanzania ili Mungu atuondolee majanga yote yanayotunyemelea na kuzidisha amani aliyotupa. GK inakutakia utazamaji na usikilizaji mzuri wa wimbo huu ambao naweza kuwapa hongera kwaya hii kwakuchagua mazingira tofauti katika...

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog