Home » » OVERCOMERS RADIO WAGAWA ZAWADI MBALIMBALI KWA WASHINDI WA KADI

OVERCOMERS RADIO WAGAWA ZAWADI MBALIMBALI KWA WASHINDI WA KADI

Salamu ni nusu ya kuonana na ni sehemu ya kujenga undungu hayo ni maneno ambayo yameelezwa leo katika kituo cha redio overcomers leo ambapo wadau mbalimbli wamepokea zawadi kwa ajili ya kuonyesha upendo wa kweli kwao
                                      Wanasalamu wakiwa studio tayari kwa mahojiano

                                 mzee wa m pesa akipongezwa na meneja wa kituo
manyanya zakaria wa mbele akiwa na wadau wa salamu

Denis nyali akipokea baraka kutoka kwa mzee wa m pesa

 meneja kyunga akimpongeza afande frank kutoka kituo cha polisi ismani mmoja kati ya washindi
mwenyekiti wa amani salamu club akiwa katika pozi

Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog