Home » » IGIZO LA YESU LATIKISA JIJI LA LONDON KWA MARA NYINGINE

IGIZO LA YESU LATIKISA JIJI LA LONDON KWA MARA NYINGINE

IGIZO LA YESU LATIKISA JIJI LA LONDON KWA MARA NYINGINE

Maelfu ya wakazi wa jiji la London nchini Uingereza pamoja na wageni wake hapo jana walifurika katika eneo la wazi maarufu katikati ya jiji hilo la Trafalgar Square kushuhudia igizo la Yesu ambalo hufanyika takribani kila Ijumaa kuu ya kila mwaka katika eneo hilo tangu mwaka 2010, ili kukumbuka mateso aliyopata mkombozi wa ulimwengu Yesu Kristo miaka 2000 iliyopita.
Igizo hilo lililoandaliwa na kuongozwa na Peter Hutley OBE KSG huku kinara mwigizaji katika nafasi ya Yesu akiwa ni bwana James(jina moja tu ambalo GK iliambulia kulipata kutoka kwa mwigizaji mwenyewe). Ambapo muonekano wake hana tofauti na mwigizaji mkongwe katika sinema ya Yesu (Jesus) Brian Deacon, watu waliohudhuria eneo hilo walionekana kwenda sambasamba na waigizaji kwakuonyesha hisia zapo kulingana na uigizaji wa wahusika.
 
 
 






 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog