Home » » HOLLY GOSPEL SEARCH IRINGA KUMEKUCHA

HOLLY GOSPEL SEARCH IRINGA KUMEKUCHA

mchakato wa kutafuta vipaji katika mkoa wa iringa maalufu kama holly search umeanza leo huku washiriki wakiwa na hamu kubwa ya kuwania zawadi mbalimbali kama vile kurekodi albamu pamoja na singo au wimbo mmoja

 zifuatazo ni baadhi ya picha za washiriki katika holly gospel search iringa












                                             

                                               
                                       jane kalinga akisikiliza kwa makini maneno kutoka kwa majaji hawapo pichani
                                                     Opeki Peter akimsifu Mungu
                             Daudi akiimba kwa hisia wakati wa ufunguzi wa shindano hilo



      denis nyali

  Katika kuhakikisha vijana wanasaidiwa kutoka katika hali duni za kimaisha mkurugenzi wa jesus my life band bi.kazinyolo ameandaa mashindano maalumu ya kutafuta vipaji ambayo yameanza leo kwa usail na kuanza lasmi ni tare 16march 2013 ambapo zaidi ya vijana 30 wamejitokeza kuwania nafasi mbali mbali siku ya leo

 Akizungumza na mtandao huu amesema kuwa lengo la kuandaa shindano hilo sio kuibua vipaji pekee bali ni kuwafanya vijana waweze kuhubiri zaidi kupitia uimbaji kwani kuna shuhuda mbalimbali ambazo zimekuwa zikitolewa kuhusu watu kuokolewa kwa njia  ya uimbaji

kwa upande wa washiriki wamemshukuru mkurugenzi huyo kwa kutambua kuwa kuna watu wamesahaulika na kujiingiza katika matendo maovu  ambayo yangesababisha kuongezeka kwa maambukizi ya vvu
 
mashindano hayo yanatarajia kuenderea jumamosi ijayo tare 16.march 2013

2 comments:

  1. keep it up my mama my God be with u

    ReplyDelete
  2. LINI TENA NYINGINE MAMA MANA NATAKA KUSHIRIKI NA MIMI NATAMANIJE KUTOKA NA KITU FLAT SCREEN

    ReplyDelete

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog