HEBU MWANGALIE MWIGIZAJI MFILIPINO AMBAYE NI MTU ANAYE MJUA MUNGU KWELIKWELI
Mwigizaji huyu ni kati ya waigizaji wanaompenda Mungu ambapo mpaka sasa
bado yupo katika ndoa yake na mkewe mpenzi Glydel Mercado ambaye pia ni
mwigizaji, kabla ya ndoa uhusiano wao ulidumu miaka 6 kisha alimvalisha
pete ya uchumba mkewe baadaye ndani ya miezi 2 aliweza kufunga naye
ndoa. Wasimamizi wao ni marafiki wao wakubwa mwanamama Lorna Tolentino
(Red Butterfly) pamoja na marehemu mumewe Rudy Hernandez. Mwigizaji huyu
ametoka katika familia ya wasanii baba yake mzazi Eddie Gutierrez na
mama...
Posted by Unknown
Posted on 8:03 PM
with No comments

PADRI
AFARIKI BAHARINI WAKATI AKIOGELEA
Mkuu wa
Shirika la Kitawa la Consolata la Kanisa Katoliki nchini, Padri
Salutaris Massawe (pichani) amefariki Dunia baada ya kuzidiwa na maji ya
Bahari wakati akiogelea katika ufukwe wa Pwani ya Bagamoyo Oktoba 25.
Padre huyo
ambaye alikuwa yupo Bagamoyo kwa shughuli za shirika lake, alizidiwa na
maji hayo ambayo yalimchukua majira ya alasili ya siku hiyo wakati
alipokuwa akiogelea pamoja na wageni wa shirika hilo walioitembelea
Bagamoyo. Mwili wa
Marehemu Padri Salutaris Massawe ulipatikana jana asubuhi katika fukwe
hiyo...
ASKOFU MKUU WA TANZANIA ASSEMBLIS AZINDUA MAABARA YA KISASA KATIKA SHULE YA SEMINARY EBENEZER MKOANI IRINGA
Posted by Unknown
Posted on 7:57 PM
with No comments
Wito umetolelewa kwa wanafunzi wanao hitimu kidato cha nne hapa nchini kuweza kuendeleza nidhamu zao hata baada ya kuhitimu kwani hiyo ndo njia pekee itakayowawezesha wanafunzi kufaulu na kukamilisha malengo yao ya hapo baadae.
Wito huo umetolewa na Askofu mkuu wa kanisa la Tanzania assemblia of god Dr Barnabas Mtokambali katika mahafali ya tatu ya kidato cha nne ya shule ya seminary ebenezer iliyopo nduli jirani na uwanja wa ndege manispaa ya iringa.
Ambapo mbali na maafari hayo Askofu Mtokambali aliweza kuzindua rasmi maabara ya kisasa itakayo wasaidia wanafunzi wote wanaosoma...
Posted by Unknown
Posted on 6:40 AM
with No comments
KANISA
LA BETHEL PENTECOSTE BUZA NALO LAPATA KISANGA CHA MOTO
Wakati jeshi la polisi na lile la wananchi (JWTZ) waliweza kutuliza hali
ya uvunjifu wa amani ikiwa pamoja na maandamano yaliyokuwa yamepengwa
kufanywa na waumini wa dini ya kiislamu kuelekea ikulu ili kushinikiza
kuachiwa huru kwa sheikh Ponda Issa Ponda na waumini wengine wa dini
hiyo waliokamatwa kwa tuhuma za kuchochea vurugu za kidini nchini.
Huko Buza njia panda ya kuelekea Kitunda jijini Dar es salaam, watu
wasiofahamika wamelichoma moto upande mmoja kanisa la Bethel Pentecoste
linaloongozwa na mchungaji Emanuel...
Posted by Unknown
Posted on 4:58 PM
with No comments

MAKANISA 2 YOMBO NUSURA KUCHOMWA MOTO, MAASKOFU LUTHERAN WATOA SALAMU JUU YA VITENDO HIVYO
Watu wasiofahamika usiku wa kuamkia leo wamevamia kanisa la kilutheri
Yombo jijini Dar es salaam kwa lengo la kufanya uharibifu kanisani hapo
majira ya saa 9 kasoro za usiku lakini walinzi wa kanisa hao
walifanikiwa kuzuia zoezi lao hilo.
Kwa mujibu wa mmoja wa watu waliofika kutoa msaada baada ya walinzi hao
kugonga kengele iliyowaamsha wakazi wa eneo hilo ambaye pia husaidia
kazi ya ulinzi kanisani hapo bwana Hosea Mbwambo amesema vijana wapatao
saba waliingia kanisani humo kwa kuruka ukuta...
Posted by Unknown
Posted on 4:51 PM
with No comments

JE? MWIMBAJI WA ''MY GOD IS GOOD'' PASTOR UCHE AMEJITOA JOYOUS CELEBRATION?
Pastor Uche akiimba Solid Rock ndani ya Joyous 15 part 2.
Baada ya kuwemo ndani ya kundi la Joyous Celebration kwa takribani miaka
5, mwimbaji aliyejipatia umaarufu sana duniani ikiwa pamoja na
kulitangaza vyema kundi hilo Pastor Agu Uchechukwu au unaweza kumuita
Pastor Uche a.k.a Double double yawezekana album ya 16 ndio ilikuwa ya
mwisho kwa mwimbaji huyo akiwa na kundi hilo.
Hali hii yakujiuliza maswali kama haya ni hivi karibuni JC imetangaza
tarehe ya kurekodi album yao mpya ya 17 ambayo itafanyika mwezi...
Posted by Unknown
Posted on 4:48 PM
with No comments

WANANCHI RUKWA WATEKETEZA SHAMBA LINALOMILIKIWA NA KANISA LA EFATHA
Shamba la Malonje linalomilikiwa na Kanisa la Efatha limepata hasara
kubwa baada ya wananchi wa kijiji cha Sikaungu wilayani Sumbawanga
vijijini mkoani Rukwa, kujichukulia sheria mkononi na kuvamia moja ya
kambi ya mashamba hayo ijulikanayo kama sikaungu na kuyateketeza kabisa
matrekta mawili makubwa mawili aina ya New Holland na kubomoa baadhi ya
nyumba zilizopo katika kambi hiyo.
Mchungaji kiongozi Michael Meela wa kanisa la Efatha mkoani Rukwa
akiongelea kuhusu suala hilo amesema hasara iliyopatikana kutokana na...
MWIMBAJI ANAYEIBUKIA KATIKA UIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI KIJANA DANNY SANGA AFANYA MAKUBWA IRINGA KATIKA UKUMBI WA IDYDC
Posted by Unknown
Posted on 5:57 PM
with No comments
Hapa mwimbaji danny akionesha utundu aliopewa na mungu
hakika ukumbimni palikuwa hapatoshi kila mmoja alitamani kuruka hadi juu
baadhi ya umati wa watu waliohudhuria katika huduma ya overcomers power cente...