Home » » Watu 8 Wakiwemo Polisi Wafariki Dunia Kwa Kusombwa na Maji Kibaigwa Mkoani Dodoma .

Watu 8 Wakiwemo Polisi Wafariki Dunia Kwa Kusombwa na Maji Kibaigwa Mkoani Dodoma .

Watu wanane wakiwamo askari wa jeshi la Polisi,watoto wawili na wapita njia wawili wamefariki dunia baada ya kusombwa na maji katika eneo la Kibaigwa Bwawani mkoani Dodoma.

Naibu Kamishna mwandamizi wa jeshi la Polisi David Misime amethibitisha leo  kutokea kwa vifo hivyo.
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog