Home » » Askari Polisi Atiwa Mbaroni Jijini Mwanza Kwa Tuhuma za Mauaji .

Askari Polisi Atiwa Mbaroni Jijini Mwanza Kwa Tuhuma za Mauaji .

Jeshi la polisi mkoani mwanza limemshikilia askari no.F.4965 PC JOEL FRANCIS Kwa tuhuma za  kumpiga na kumsababishia kifo kijana Donard Magalata aliyekuwa akiishinaye nyumbani kwake

Askali huyo alimpiga kijana donald mara baada ya kubaini kuwa pochi yake iliyokuwa na kadi mbili za benk na kitambulisho cha kazi havipo.
Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog