POLENI SANA NDUGU ZETU WA ARUSHA KWA AJALI MBAYA  ANGALIA PICHA HAPA Simanzi zimetanda jiji la Arusha baada ya watu zaidi ya 15 kufa katika ajali iliyotokea eneo la Tengeru. Akiongea na mwandishi wetu mmoja ya mashahidi aliyefika eneo la tukio na hospitali ya Mount Meru amesema ajali ilitokea majira ya saa kumi jioni huko maeneo ya Sadec-Darajani -Tengeru iliyohusisha gari la abiria aina ya Hiace linalobeba watu toka Usa-River kwenda Arusha mjini na Lori la mafuta.Aliongeza kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa dereva wa hiace (gari la abiria) iliyokuwa ikijaribu kupita...
Kurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo October 28 2014 . Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . ...
Mtoto ashukiwa kuwaambukiza wengi Mali Shirika la afya duniani WHO linasema kwa msichana wa umri wa miaka miwili ambaye alithibitishwa kuwa mgonjwa wa kwanza wa ebola nchini Mali alisafiri kilomita kadha kwa basi nchini humo huku akionyesha dalili za kuugua ugonjwa huo. Zaidi ya watu 40 ambao walikaribiana naye wametengwa. Huenda msichana huyo alisafirishwa kwenda nchini Mali na nyanyake baada ya mazishi ya mamake nchini Guinea moja ya nchi ambazo zimeathirka pakubwa na ugonjwa wa ebola. Utawala nchini Mali sasa umethibitisha kuwa msichana huyo ameaga dunia kwenye...
2228 KUHITIMU LEO KATIKA MAHAFALI YA KWANZA YA CHUO KIKUU CHA IRINGA LEO   Afisa mahusiano wa chuo cha Kikuu cha Iringa, Agness Kitundu akimpaa maelekezo mlinzi wakati wa mahafali ya chuo hicho. ...

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog