Home » »

IRINGA MOTO KUWAKA KESHO KATIKA UKUMBI WA HIGHLAND HALL KWENYE UZINDUZI WA ALBAMU YA POKEA SIFA BWANA YA YUSUFU NGALOWOKA.
hapa akiwa amepozi na kipenzi chake  yaani mama watoto


yusuphu ngaloka family


Kwa mara ya kwanza wakazi wa iringa siku ya kesho wanatarajia kupata burudani ya aina yake kwenye uzinduzi wa mwimbaji mahili wa mziki wa injili na mwandaaji yusuphu ngalowoka utakao fanyika katika ukumbi wa highland hall uliopo manispaa ya mungu 
 uzinduzi huo ambao umeratibiwa na mwenyekiti wa maandalizi bi veronica james meneja wa hospitali ya aghakhani iliyopo manispaa ya iringa utakuwa wa aina yake kwani ni kwa mara ya kwanza kwa waimbaji hao kuandaa tamasha bila kuwahusisha waimbaji wakubwa wa injili kutoka mikoa ya nje na iringa.
katika uzinduzi huo utakahudhuliwa na kwaya mbalimbali na waimbaji binafsi mgeni rsmi atakuwa ni mahamudu  madenge kada wa chama cha mapinduzi mkoa wa iringa

gospel za iringa itakuletea matukio ya tukio lote kwa ujumla........

Facebook Blogger Plugin: Bloggerized by Joseph Kipangula Enhanced by Joseph Kipangula

0 comments:

Post a Comment

NURU FM 93.5 IRINGA

.

.

.

Nyali

Pages

Pages

Powered by Blogger.

Blog Archive

Search This Blog